mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,858
- 106,099
Tungiii nlianzaa mapemaaaa sana sahv ndy narud home eeKatibu leo ni kama hujapiga chata..
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tungiii nlianzaa mapemaaaa sana sahv ndy narud home eeKatibu leo ni kama hujapiga chata..
Nikajua umezima Katibu..Safi.....hyooo mimi ndyoo narud home sahivi mida ya wangaaa hiii
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm sikukubaliana na hilo wazo kabisa.. Poa Katibu, najua umeahirisha kikao hadi badae kidogo
Nna kakonyagi kasichana nmezama nacho ndani nataka nkikate back up hyoHata mm sikukubaliana na hilo wazo kabisa.. Poa Katibu, najua umeahirisha kikao hadi badae kidogo
Hahaha.. Never say dieNna kakonyagi kasichana nmezama nacho ndani nataka nkikate back up hyo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna namnaaa
Hatari faya.. Toa gambe, weka gambe..Hamna namnaaa
Basi tu mangi alikuwa anaelekea kuzima ila ilibidiii tupige tungi mpk saa 12
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndio najiegesha sahv..Niko macho
Jr
Achana nalo. Nishalimaliza mkuuTutakushauri vipi wakati hatujui dili ilikuwa ipi
God save us
nilidhani angeomba umfungulie pubKuna barmaid anataka nimnunulie gari?