Tayari zimepungua kwaniKwa Moyo wa dhati kabisa niwapongeze wanywa Bia na Wavuta Sigara popote pale walipo..
Wamelipa Kodi miaka yote kwa Uzalendo mkubwa bila malalamiko na Nchi ikafikia Uchumi wa Kati.
Serikali ikaona iwapunguzie kidogo kwenye local beers Kama Bakshishi,na ikatengeneza Kodi ya Kizalendo....
Wanywa Chai, Soda Na Juice Sasa, Nchi Haikaliki... Malalamiko tu...
Mziki mnene huu, kuna siku zamani lakini (wakati bado napiga) nilipiga huyo wa upande wa kulia nne dah hatari sana
Kapige punyeto ulale!Pumbavu, endelea kuunguza maini
Mpe hi Rutaya hapo rwezaura mkuuWakuu mmelala nyumbani au nje ya ndoaView attachment 1883484
Toa location mkuu!Nani anataka kampan nipo hapa na pesa na Sina kampan
Piga dry,,kwanini uchanganye tamu na chunguHivi walevi wenzangu, kuchanganya pombe kali na soda (mfano K-vant na Sprite) hakuleti madhara ya kiafya?
Maana kuna katabia kameniingia ka kuchanganya Lord gin na Dragon, lakini huwa naogopaga sana hiyo mixa, isije kuniletea madhara ya kiafya.
Kweli kabisa hii