Karibu home mshana
Mdau niliamua kuijaribu tu hii, of course ina harufu kama ya K-VANT/KONYAGI ingawa harufu sio kali sana kama liquors tajwa hapo juu.View attachment 1832705
Kesho ukiona kimya ujue nimeisha
Mdau niliamua kuijaribu tu hii, of course ina harufu kama ya K-VANT/KONYAGI ingawa harufu sio kali sana kama liquors tajwa hapo juu.
Wameongezea radha fulani ya utamu,pia ukinywa dry inafanya ulimi unakuwa mwepesi sana.
Duh full mass nondoKaribu home mshanaView attachment 1861910
Inaleta ile hali ya kuhis ulimi mwepes sana.Of course ipo vizuri.Unajikuta unaongea kirahisi??
Leo Nina mpango wa kuipiga tatizo company
Hiyo picha ya siku nyingi Sana inaonekanaKaribu home mshanaView attachment 1861910
Una mechi?Hyena hyenaView attachment 1862115
Nialike tuveshe vidude.Unajikuta unaongea kirahisi??
Leo Nina mpango wa kuipiga tatizo company
Iko poa sanaMdau niliamua kuijaribu tu hii, of course ina harufu kama ya K-VANT/KONYAGI ingawa harufu sio kali sana kama liquors tajwa hapo juu.
Wameongezea radha fulani ya utamu,pia ukinywa dry inafanya ulimi unakuwa mwepesi sana.
Hahaha.. Huyo sio mlevi mnywaji... Ni kenge kwenye msafara wa mamba
Eid kama inavyoendeal View attachment 1862484