Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa Moyo wa dhati kabisa niwapongeze wanywa Bia na Wavuta Sigara popote pale walipo..
Wamelipa Kodi miaka yote kwa Uzalendo mkubwa bila malalamiko na Nchi ikafikia Uchumi wa Kati.
Serikali ikaona iwapunguzie kidogo kwenye local beers Kama Bakshishi,na ikatengeneza Kodi ya Kizalendo....
Wanywa Chai, Soda Na Juice Sasa, Nchi Haikaliki... Malalamiko tu...

Wanavolalamika hao
 
Wakuu hebu mimi sina hela ya gambe ila Nina hamu nayo sana. Naomba mdau mmoja ajitokeze anipe msaada wa gambe. nitashukuru
 
Kwa Moyo wa dhati kabisa niwapongeze wanywa Bia na Wavuta Sigara popote pale walipo..
Wamelipa Kodi miaka yote kwa Uzalendo mkubwa bila malalamiko na Nchi ikafikia Uchumi wa Kati.
Serikali ikaona iwapunguzie kidogo kwenye local beers Kama Bakshishi,na ikatengeneza Kodi ya Kizalendo....
Wanywa Chai, Soda Na Juice Sasa, Nchi Haikaliki... Malalamiko tu...

Unaakili nyingi sanaa kiongozi..
 
IMG-20210713-WA0045.jpg
 
Kwa Moyo wa dhati kabisa niwapongeze wanywa Bia na Wavuta Sigara popote pale walipo..
Wamelipa Kodi miaka yote kwa Uzalendo mkubwa bila malalamiko na Nchi ikafikia Uchumi wa Kati.
Serikali ikaona iwapunguzie kidogo kwenye local beers Kama Bakshishi,na ikatengeneza Kodi ya Kizalendo....
Wanywa Chai, Soda Na Juice Sasa, Nchi Haikaliki... Malalamiko tu...

Hahahaha pande zetu kila mwaka ilikuwa inaonekana lakini tume savaivu
 
Back
Top Bottom