Nafanya mambo njaa kama yote View attachment 1156876
Nafanya mambo njaa kama yote View attachment 1156876
nilikuwa najiuliza hivi umepotelea wapi?Salam zangu kwako
Ndio ndioBaada ya kutafuna unacheua kidogo k vant ama Absolute
Leo ulikua sambusa nimesahau kupiga picha hahaahaNimetamani aise
Nafanya mambo njaa kama yote View attachment 1156876
Busy kidogonilikuwa najiuliza hivi umepotelea wapi?
Mkuu fafanua hii pic vizuri... Juu ya meza ni nini??...ni mguu ama?Nafanya mambo njaa kama yote View attachment 1156876
naipenda sana konyagi... inaniongezea uwezo wa kunywa maji kwa wingi ASUBUHI TU nakata lita moja. mchana natirika na maji kama mdudu vile. tatizo tu napoteza kumbukumbu asubuh ya jinsi show zinavyokwisha usikuKwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Broo ilitakiwa iwepo na chupa ya beer pembeni kukusindikizia mapishi!Nafanya mambo njaa kama yote View attachment 1156876
Na mm nimeuona, bado natafakari!Mkuu huo mguu umefata nini juu ya meza.