The bright one
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 272
- 563
Tuma ni test mkuuMean while nnapush hii kitu ukiikuta popote support yako inahitajika inaitwa Mac Maroon whisky try it uje unipe majibu hapaView attachment 1118831
Hivi Kilimanjaro twist zipo kweli kwenye mzunguko Mshana?Dah umenitamanisha ujue
Daah hiyo pitch noma sana.. Nitakuja na ball, nikipiga funda moja, naingia kati danadana mbili tatu..Unakunywa beer huku unavuna ndiziView attachment 1119606
Daah hiyo pitch noma sana.. Nitakuja na ball, nikipiga funda moja, naingia kati danadana mbili tatu..
Tuma ni test mkuu
Napenda sana whisky na VodkaPoa mkuu, nitakutumia chupa moja
Wooh.. Just wooh...Za nyumbaniView attachment 1119851
Wooh.. Just wooh...
Katibu yupo busy anachukua minutes za kikao..Mwenyekiti itisha kikao cha dharura kumtafuta katibu
Kivipi?Hahahaha harufu yake sasa balaa
Mambo ka hayo ndo mtu unakiri kwamba Yesu ni Bwana..
Mzigua mambo vipi?Za nyumbaniView attachment 1119851