Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Tiptop manzese moja hiyo ndani ya jiji la wagagagigikoko
Kuna jamaa sio mtumiaji sana wa Jf kwa sasa leo kupitia simu yangu kaona huu uzi akashangaa Akaniuliza "mshana anaanzisha vipi uzi kama huu wakati alikuwa mhubiri mzuri wa watu kuacha Pombe,,kakumbwa na nini hadi kaamua kuwa mtumiaji wa pombe"
Sikuwa na majibu,,vipi ni ya kweli haya ndugu mjumbe?
 
ni kweli kabisa lakini huu uzi si uzi wa kuhamasisha ulevi bali ni simulizi za vituko na mikasa baada ya kulewa
Umekuwa ni uzi muhimu kwakuwa umewaidia wengi kufunguka na kupata msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…