Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Msaada jamani nimewasha gari inalia kama machine ya kusaga na hii Alama imegoma kutoka kwenye dashboard

Attachments

• uploadfromtaptalk1466963776455.jpg
uploadfromtaptalk1466963776455.jpg
28 KB · Views: 297
Wadau, Hbr za maisha yetu ya kila Leo?
Nina tatizo la hiv vinavyoitwa "viberiti" ambavyo hutumika kwa ajil ya kupata mziki kwa kutumia flash! Nikikitumia ni wiki 2au 3 hakifanyi kazi tena!
Nimenunua zaidi ya 3 hv tatizo hill hilo! Nisaidieni wajuzi wa hayo mambo, napenda sn mziki nikíwa kweny gar! Karibu!!

Wadau, Hbr za maisha yetu ya kila Leo?
Nina tatizo la hiv vinavyoitwa "viberiti" ambavyo hutumika kwa ajil ya kupata mziki kwa kutumia flash! Nikikitumia ni wiki 2au 3 hakifanyi kazi tena!
Nimenunua zaidi ya 3 hv tatizo hill hilo! Nisaidieni wajuzi wa hayo mambo, napenda sn mziki nikíwa kweny gar! Karibu!!

Mkuu wengi watakwambi unanunua fake, ila ukweli ni kua "viberiti" hivyo hua vinaungua hasahasa pale unapowasha gari kwani umeme unaokuja pale uwashapo gari hua mkubwa kuliko unaohitajika kwenye "viberiti" hivyo. Njia pekee ya kuvitunza; daima kichomoe pale unapowasha gari na ukichomeke tena gari ikiwa tayari imewaka. Ukiwasha gari bila kukichomoa lazima kitaungua tu ndani ya siku chache!

Hiyo ni kweli na inaweza kuwa tatizo, huwa nawasha gari bila kukiondoa, na kweli sikujua hilo mkuu!
Nakushkru sana kwa elimu na msaada kwangu Mr Ngusho!!

Msaada wenu wakuu gari yangu wiki iliyopita nimepeleka garage kuifanyia service.Service nilizofanya ni pamoja na kumwaga na kubadili oil na kubadili hydraulic na nyingine ndogondogo kazi ilifanyika vizuri kabisa. Tatizo limekuja baada ya kama Siku mbili kupita na tatizo lenyewe ni kama ifuatavyo
1.nikiwasha gari inawaka lakini inatoa muungurumo kama machine ya dizel
2.gari inawaka lakini nikiweka gia inazima
3.nikitaka isizime basi ni lazima nikanyage kwenye kuongeza mwendo na haiwezi kumove
4.nikiweka silence inazima yenyewe
NB gari ni Toyota oppa Auto na kabla ya service hiyo gari ilikuwa safi kabisa.
Msaada wenu wadau tatizo ni mini hasa na solution lake

gari inazima kwa kuwa silensa ipo chini sana.

cha kwanza jaribu kuchake idle sensor ndio huwa inahusika sana na silensa unapoweka gia au bebesha engine mzigo yenyewe huwa inabalanse silensa

Msaada jamani nimewasha gari inalia kama machine ya kusaga na hii Alama imegoma kutoka kwenye dashboard
Kwasukwasu mara nyingi gari ikiwaka taa hiyo ni kuwa injini ina matatizo
ni bora umpelekee fundi
huenda imekata timming belt mabapo km ikimaliza 100,000km huwa inabadilishwa
huenda kuna mkono umejam
kwa hiyo km itawaka injini inakuwa nyepesi sana na makelele na hata ukiweka gia gari haliondoki
uploadfromtaptalk1466963776455-jpg.360422

Gari yangu ni GX100. Leo wakati naiwasha ilianza kutoa mlio flani hivi wa ajabu kuna mtu akaniambia exhaust itakuwa imepasuka. Wakati naitoa nje ikafika sehemu ika seize nikikanyaga moto haisogei na haifanyi response yoyoyte wakati gari ipo kwenye gia. Nikaizima na kuiwasha ikakubali nikairudisha nikaipark. Hebu wajuzi nisaidieni hapo tatizo ni exhaust au kutakuwa na kitu kingine.

• Thanks
Reactions: Dyf
hapo shida inaweza ukawa gearbox kwa maelezo yako ya haraka haraka na kwa lamli yangu .

sababu yakusema ni gearbox nikuwa ulipoiwasha kwa mda hydrolic ilikuwa inapanda so kama chujio,filter ni chafu inamaana ule uchafu ulinasana kwenye chujio na kushindwa kupandisha hydrolic ndio maana ikasizi ulipozima hydrolic ikashuka chini kwenye sample hivyo uleuchafu ulionasa kwenye chujio ukadondoka na kuliacha chujio safi kiasi ulivyowasha tena ikakubali kutembea.

sababu ya pili clutch zinaweza zikawa zimeungua .

mtafute fundi akuchekie kwa uhakika zaidi

Habari za wkend wadau! Naomba anayejua duka la vipuri vipya vya nissan kwa hapa dar anielekeze.
Asante.

Back
Top Bottom