Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Lege na mshana nlikua nahitaji kujua athari ya kupark gari ukaiacha imekata kona yani hujanyoosha usukani
MKUU INATEGEMEANA NA AINA YA GARI kuna gari nyingine hasa zinazotumia umeme na maana hazitumii stering power ya hydrolic huwa zinazingua kidogo.hapa na maana EPS electronic power stering.
ukiiwasha huwa inawaka taa na usukani kuwa mgum some times mpaka uiflush na mashine au uifanyie calabration na mashine.
 
Jamani nahitaji kununua gari MAZDA DEMIO mwenye kujua kuhusu uzuri wake na ubaya wake na jeee spare parts zake zinapatikanaaa?...
 
Spare zipo na fuel consumption ni nzuri sana ila sio gari ya kazi...
Hapo hapo Mshana pia nami naomba kufahamu kuhusu Mazda Premacy MPV 7 seats 2000cc uimala, ubora, upatikanaji wa spare na fuel consumption ajili ya matumizi ya familia
1465180991558.jpg
 
Wakuu za asbh nna tatzo nimeditect kuhusu gar yangu nkiitumia kwanzia masaa mawili matat bila kuzima au safar ya mda huo nkija kuizima af kuiwasha inagoma hadi niiaxhe ipumzike kwa mda je inaweza kua tatzo ni nn na sltn yake
 
Habari wakuu,nahitaji kuagiza toyota kluger but naskia kuna aina nyingi sana za kluger,naomba ushauri kidogo ni toleo lipi au aina ipi ya kluger ambayo ipo vizuri kwenye injini,na ni injini ya diseli, injili ambayo ina matumizi ya wastani wa mafuta.asanteni.
 
mkuu nyosha maelezo vizuri corola aina gani?? basi sema ni engine aina gani ili usaidiwe kwa haraka maana ukisema tu gari yangu au kama hivyo corola utapewa ushauri wa gari ya corola inayofunga engine inayotumia distributer wakati ww unatumia gari inayotumia engine ya sapesa coil?
 
mkuu nyosha maelezo vizuri corola aina gani?? basi sema ni engine aina gani ili usaidiwe kwa haraka maana ukisema tu gari yangu au kama hivyo corola utapewa ushauri wa gari ya corola inayofunga engine inayotumia distributer wakati ww unatumia gari inayotumia engine ya sapesa coil?
LEGE msaada tafadhari, naomba kufahamu ubora, spea na ulaji wa mafuta wa MAZDA PREMACY MPV 2000CC 7 seats
1465270787334.jpg
 
Wakuu za asbh nna tatzo nimeditect kuhusu gar yangu nkiitumia kwanzia masaa mawili matat bila kuzima au safar ya mda huo nkija kuizima af kuiwasha inagoma hadi niiaxhe ipumzike kwa mda je inaweza kua tatzo ni nn na sltn yake
baterry tatizo hiyo tafuta nyengine
 
Napenda kutoa shukrani nyingi kwa aliyeuanzisha huu uzi na wote wanaotoa michango yao ya kuelimisha jamii. Nimepata mengi sana kuhusu magari.

Ninapenda kujua kati ya rav4 old model na harrier old model isiyo v6 ni ipi bora zaidi? Pia kuna tofauti gani kati ya rav4 old model iliyo manual na ambayo ni automatic mbali na mfumo wake wa ubadlilishaji gear?
 
Wadau heshima mbele,
Kuna jamaa aliniuzia gari. juzi nimesimamishwa na trafiki na baada ya kuicheki kwenye system inaonekana inadaiwa takribani laki na themanini coz jamaa alikua anaendesha bila bima so kuna malimbikizo ya mabao mpaka kufikia TZS 180,000. Wazee wakazuia gari mpaka ilipwe ila baada ya kuwaelezea wakaniacha. sasa namtafuta jamaa alieniuzia huo 'MSALA' akawa hajibu na leo kanijibu jeuri sana. sasa sijui ni kwa sababu ni mtoto wa 'Kigogo' wizara ya mabo ya ndani ndio maana analeta dharau.
Nishaurini nifanye nini au niende wapi nipate Haki yangu sababu sysyem inaonesha yeye (Jina lake na leseni yake vinaonesha) ndio alikua anatumia gari bila Bima.

NB; sikua nafahamu jinsi ya kucheki kama gari inadaiwa so pls dont Kill me in this one.
Ushauri tu naomeni na sio Madongo.

Asante

Sp.
 
Back
Top Bottom