Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau wa magari hivi kati ya Rav4 yenye 1800cc 2WD vvti na Rav4 yenye 2000cc 4WD D4 engine ipi ni nzuri zaidi maana nina mpango wa kuchukua moja
 
Hello mshana asante sana kwa kutujuza khs magari. Nnaomba kufahama hizi jeep grand cherokee ya mwaka 2002 ina tumia mafuta kiasi gan kwa matumiz ya hapa dar? Na pia oil filter zake ziko bei gan na gharama za service kwa ujumla kama naweza jibiwa itakuwa vzr, nina mpango wa kununua cc 4000.
 
Aisee hapa naomba nimwalike LEGE
 
habari wadau?
mimi nauliza kuhusu toyota platz na honda Hr-v ziko vipi ? uimara , spares matumizi ya mjini na barabara ya vumbi mara moja moja.. kati ya hizo mbili ipi ni bora zaidi kama unamshauri mtu anayetaka kununua?
honda hr-v iko poa sifa yake ya kwanza haiharibiki mara kwa mara kama toyota sifa ya pili haili mafuta sifa ya tatu kwa barabara zetu una starehe kweli shida zake kwenye vipuri maduka yake sio mengi unaweza kuitumia hata miaka 6 bila ya maharibiko kubwa utunzaji tu
 
Wadau naomba kufahamu ubora wa Mazda Premacy MPV 7seat 2000 cc. Ulaji wake wa mafuta na umadhubuti wake kwa ujumla...
 
Wadau naomba kufahamu ubora wa Mazda Premacy MPV 7seat 2000 cc. Ulaji wake wa mafuta na umadhubuti wake kwa ujumla...
[Photo-ATTACHED]
 
Attachments

  • 1464936378314.jpg
    1464936378314.jpg
    54.3 KB · Views: 105
Back
Top Bottom