Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,069
- 8,327
Mkuu pitia tena madesaNimeshafanya hivyo mara nyingi
Mkuu pitia tena madesaNimeshafanya hivyo mara nyingi
Hapana hakuna kitu kama hicho labda uniambie diff oil nitakuelewa lakini sio gearbox hydraulic, sijawahi kuona kitu ya namna hiyo Nimekaa kwenye field ya magari kwa karibia miaka 15 sijawahi kuona kitu ya namna hiyoGear box oil ya gari gani kwanza ? Kama ni za automatic gearbox za gari za kijapan, huwa haitumii oil bali ATF ( Automatic Transmission Fluid ) waswahili tunaita hydraulic oil, inabadilishwa kila baada ya Km 100,000 ( Laki moja ).
Naweza kuwa nilikuwa nafanya makosa lakini katika maisha yangu ya field ya magari sijawahi kupitisha km elfu kumi bila kubadili gearbox hydraulicMkuu pitia tena madesa
Tofautisha magari yakiwa huko yalikotengenezwa na huku tunakoyanunua used. ...ni sahihi km laki moja ikiwa zero kilometres lakini si baada ya kutumika zaidi ya miaka kumi halafu ukanunua wewe kama used carNaona mtandaoni kuwa kubsdilisha gear box oil ni mile /km laki moja kama ilivyoandikwa kwenye manyo za gari ingawa pia inategemea na matumizi ya gari.. Mf. Foleni zetu za simama nenda simama ama kama una vuta mizigo /trelaz mara kwa mara inabidi uwe unacheki oil ubadilikaji wake wa rangi na harufu. Embu chekini hii link wakuu: Do You Really Need to Change the Transmission Fluid?
Oooh sawa mkuuTofautisha magari yakiwa huko yalikotengenezwa na huku tunakoyanunua used. ...ni sahihi km laki moja ikiwa zero kilometres lakini si baada ya kutumika zaidi ya miaka kumi halafu ukanunua wewe kama used car
Iyo ni kwa difu ya nyuma ndio kilometers 100,000Kuna fundi kaniambia gearbox ni baada ya km 100,000
Kuna jinsi ya kureboot ngoja kuna mtaalamu atakujaHabari wakuu, nimebadirisha betri , gari ilikuja na betri ya N 40 nikashauliwa kuweka betri ya N 50 , baada tu ya kubadirisha power window ya mlango wa dereva haiwezi kucontrol milango mingine, pia kuna kitaa hapo kwenye power window kinawaka na kuzima. Msaada tutani.
Kwa nn mkuu,kuna madhara gan naomba nifahamu piaKwa ushauri wangu binafsi usifanye hivyo
Kwanza haishauriwi kabisa kujaza mafuta gari ikiwa kwenye silence mode....unatakiwa kuizima kabisaNikijaza wese wakati gari ipo switch on gauge haipandi kwa nini wadau? Hii kitu imenitokea mara ya pili sasa na gari tofauti tofauti