Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Napenda body ya hii gari kwasababu inahimili mikiki ya mazingira yangu, hasa rough road.

Hivi vigari vidogo ntaviua mapema.
Mm nadrive v6 yake na sijawahi ona km fuel ni tatizo, achana na biashara za kukuletea umaskini. J20 bafo ni fuel economy sawa na rav4 tu
 
Naomba msaada, gari Ipsum model TA ACM21W ya 2002 inasumbua kuingiza gear, ukiwasha ukiweka drive kisha ukakanyaga mafuta ule mshale wa rpm unapanda mpaka mwisho lkn gari haitembei, imebadilishwa gearbox, ikakaa sawa kwa lisaa limoja, then imeasumbua tena kwa tatizo hilohilo, naomba mwenye ujuz na uzoefu anisaidie ushauri wa kutatua tatizo hilo, Shukrani sana!
 
Aisee hapo ni shida nilishawahi kukutana na kesi kama hiyo gearbox ikabadilishwa zaidi ya mara nne, unafunga inakuwa poa ila round moja ya kutest ukirudi Kimeo! Gearbox ya mwisho kufungwa ikatulia lakini ulaji mafuta ukawa maradufu
Ushauri : uza hiyo gari utafute nyingine
 
[QUOT6E="Mvumbo, powwow 5 [QUOTE="Mvumbo, post: 15260302, member: 319780"]Akhsante mkuu umenipa pa kuanzia[/QUOTE]E
pg pg giß st: 15260302, 3: 319780"]Akhsante mkuu umenipa pa kuanzia[/QUOTE]E
pg
pg gißúyeweeee3v
 
Aisee hapo ni shida nilishawahi kukutana na kesi kama hiyo gearbox ikabadilishwa zaidi ya mara nne, unafunga inakuwa poa ila round moja ya kutest ukirudi Kimeo! Gearbox ya mwisho kufungwa ikatulia lakini ulaji mafuta ukawa maradufu
Ushauri : uza hiyo gari utafute nyingine
Ahsante mkuu, ndo natafuta utatuzi wa tatizo niiweke vizuri kabla haijauzwa
 
Habari za majukumu ya hapa na pale!
Naomba kujua namna ya kubadili mmiliki wa gari kwenye Kadi ya gari, kabla sijaingia kichw kichw TRA!
 
Habari za majukumu ya hapa na pale!
Naomba kujua namna ya kubadili mmiliki wa gari kwenye Kadi ya gari, kabla sijaingia kichw kichw TRA!
Unaenda na mkataba wa mauziano TRA , kuna vishoka wanayo hiyo mikataba lakini ni vema ukaenda reception moja kwa moja kupata utaratibu sahihi
 
Wadau, nina premio old model..nataka nikarudishie rangi ...kamepauka...sasa naomba mwongozo kwa dsm wapi wanapiga rangi vizur na bei zikoje....asanten
 
Wakuu naombeni ushauri nina gari Toyota ractis sasa nataka badilisha matairi. Matairi iliyotoka nayo japan ni size 175/65 rim 15 size inayotakiwa kwa mujibu wa Toyota ni 175/60 rim 16. Sasa nimezunguka maduka kadhaa ya matairi size ambazo wanazo ni 185/65/ rim 15. Nahofia kuchukua hizo saizi 185 nahisi wakati wa kukata kona zitasumbua maana ni kubwa kwa 10 unit zaidi. Wadau naombeni ushauri wenu maduka kadhaa niliyopita wanadai ni ngumu kupata size ilizotoka nazo japan! so wakashauri nichukue hiyo 185/65/ rim15
 
Wakuu naomba ushauri nina gari suzuki escudo engine G16 A automatic kila nikiingiza gear iwe R au D gari inastuka nilimpa fundi mmoja akasema tatizo ni mount ya gearbox tumeweka mpya lakini tatizo linaendele pia tumepunguza sailensi lakini tatizo lipo palepale jee tatizo ni nini gari kushituka hivyo?
 
Kuna kitu wengi hawakijui booster ya break inavujisha pressure hivyo kuruhusu vacuum inayotoa gap kwenye system ya gearbox na gear na hivyo kusababisha ule mstuko na mara nyingi ni kwenye gear kubwa reverse na no 1
 
Back
Top Bottom