mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,104
- 1,478
Nashukuru mkuu lakini spare zinapatikana??Kama jina lilivyo MURANO it's a cool thing go for it...!
Nashukuru mkuu lakini spare zinapatikana??Kama jina lilivyo MURANO it's a cool thing go for it...!
Nashukuru mkuu lakini spare zinapatikana??
Mi nimetumia Mark II grande (engine 1G FE vvti) ni gari nzuri sana, japo watu wanazilalamikia ulaji wa mafuta mi sikuona kama inakula sana ukilinganisha na ukubwa wa injini nilikuwa natumia lita 1 kwa 12.5-13km.
Opa sijazitumia ila zina-AZ engine family-ambazo zipo za 1.8 na 2.0.
Nina gari aina ya noah lakin inamaliza mapema sana hydrolic oil nini tatizo hafu.stealing hua inakuwa ngumu sana kama gar ipack.naomba msaada
Hili tatizo limeshawahi kunitokea.. Mimi nilikuwa natumia nissan navara yaani hydrolic ilikuwa inaisha kwa muda mfupi tu..
Nilivyopeleka kwa fundi akafanyia check up akagundua pipe ya hydraulic ilikuwa inavuja.. Kwa maelezo ya fundi gari yangu ishawahi kupata ajali ( ni kweli) hivyo pipe kugusa engine au kitu cha moto ambacho kilikuwa kinaunguza hio pipe hivyo ikazibwa mambo yapo fresh sasa hivi.
Ushauri wAngu.. Nenda kwa fundi, afungue mfumo wote Wa hydrolic achunguze tatizo. Hakika utapata ufumbuzi.
Ni mategemeo yangu nimesaidia kidogo.
mkuu vipi nissan navara ni imara?
Wadau carina TI inakula engine oil. Kila baada ya cku 2 naongeza lita 1. Chk up niliyoifanya moshi hautoki na wala hakuna leakage sehemu yoyote
kama hakuna mahali inavuja basi ring kwishnei hapo. Kagua uvunguni vizuri kama hakuna ubichi kabisa lazma ni ring piga chini mashine. Mda mwngne sio lazma usubiri moshi utoke hyo kula oil tu ni kipimo tosha. Vp haichemshi?au asbh unaongeza maji kiasi gani kwenye rejeta?
Hatuongezagi majikama hakuna mahali inavuja basi ring kwishnei hapo. Kagua uvunguni vizuri kama hakuna ubichi kabisa lazma ni ring piga chini mashine. Mda mwngne sio lazma usubiri moshi utoke hyo kula oil tu ni kipimo tosha. Vp haichemshi?au asbh unaongeza maji kiasi gani kwenye rejeta?
Wadau naombeni mnisaidie matumizi ya hiyo shift lock button, na hizo gear S na B