CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 732
- 455
Fielder ni gari ngumu na kwakuwa tayari unatumia corrola van basi fielder itakufaa sana kwa kila kitu
Mkuu nashukuru nimekupata..l will opt for Fielder
Fielder ni gari ngumu na kwakuwa tayari unatumia corrola van basi fielder itakufaa sana kwa kila kitu
Mkuu nauliza hivi, je ukinunua gari la rangi nyeusi kwa mtu anayeishi Dar kuna baya lolote? Yaani pengine litaongeza joto zaidi ndani ya gari au tuseme ni kawaida tu kama gari la rangi nyeupe?
Nimezungumzia kwa uzoefu wangu sijadanganya mtu lakini bado nasimamia kusema Ac si nzuri ndugu yangu si kwa mtoto tu hata kwa mtu mzima! Kuhusu vioo nimesema unafungua kidogo
Si sahihi kabisa kifua na mapafu ya mtoto mdogo hayajakuwa na uwezo wa kuhimili baridi ya AC! Cha kufanya kama unasafiri naye kwanza hakikisha umemvisha jacket zito la kuzuia upepo kisha fungua vioo kidogo kuruhusu hewa kuingia
Come oooooon Mshana, what are you talking about ?
Old model lakini new model itakutesa
Wadau na ili kupata gari nzur ya bei rahisi atleast kuanzia maisha naeza pata kwa bei gani na ni gari gani? sio used.
I may not be 100% right but I have a point based on personal experience...! Sitakataa kukosolewa lakini kitaalam kwakuwa hili jukwaa si kwa ajili ya kubishana bali kuelimishana na kushauriana
Tuko pamoja "mate", but for sure AC iko safe kabisa, ni kujua namna ya kuzi set vizuri zile knobs zake za adjustment, licha ya kupooza hewa AC pia inasafisha/inachuja hewa na vumbi chafu, kuondoa humid air ( unyevu joto ).
sawasawa mkuuMmh sio used kwa maana ipi? Kuna used za Tanzania ambazo ni nzuri tu na kuna used nyingine safari moja mishemishe safari nyingine kwa fundi
Kuna used za kutoka nje kama Japan ni nzuri na kuna za Dubai ni Majanga! Gari huko zinakouzwa ni bei poa sana mpaka usd 200 kutegemeana na aina ya gari shida ni usafiri na kodi zetu na uchakavu kutokana na sera ya sasa ya kuagiza magari chakavu
Nilikuwa nacheck kwenye website ya be forward japan.Bei ya FOB kwa corolla fielder ipo kati ya dollar 1500 hadi 2500.corola filder ina range bei gani sasa hivi yard na kwa mtu?