Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kwa diploma ya hapa hapa jukwaani ni vzr unaponunua gari kwa mtu akakupa service history yake ili kukusaidia kumaintain gari hilo. Ni vzr ikawa kwenye maandishi.

Pia wenye magari, ni vzr kuandika service history ili tunapoamua kuyauza tusiwape tabu kama hii wateja tarajali
Tumieni app kama Drivvo
 
Wadau salaam.
Kwa wale wazoefu/wataalamu wa magari naomba ushauri.
Nahitaji kubadili kidogo sana ground clearance ya gari langu maana napata shida ninapoendesha ktk rough roads.
Gari lina G/Clearance ya 160mm - Ni Toyota ISIS. Urefu 4610mm, Upana 1695mm, height 1640.
Pia napenda kujulishwa kama kuna side-effects zitakazojitokeza kwa kubadili G/C ya car kutoka ktk original design.
Ahsante.
 
Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo utunzaji na kadhalika.

Watu wengi wametapeliwa kwenye mauzo na manunuzi, kwenye nyaraka, kwenye vipuri kwenye matengenezo na hata matumizi.

Kwa Uzi huu basi kila mwenye ujuzi, uzoefu, ushauri au mwenye maswali na tatizo lolote linalohusiana na magari hapa ndio pawe uwanja wake

Karibuni sana

Ushauri: Jinsi ya kununua gari iliotumika ndani ya Tanzania


Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

USHAURI: Ununuaji wa magari...

View attachment 225786

Wadau hii gari HAPA vp kwa mazingira ya Tanzania?

1. Upatikanaji wa spare
2. Matatizo yake ya mara kwa mara
3. ...
 
Wadau hii gari HAPA vp kwa mazingira ya Tanzania?

1. Upatikanaji wa spare
2. Matatizo yake ya mara kwa mara
3. ...
Jaguar kama gari nyingine za Ulaya tu, spare upatikanaji ni mgumu kwa bongo labda uwe unaagiza kila mara. Yaani hapo kuanzia shock absorber na vitu vingine itabidi uwe unaagiza. Au kama utapata kwa maduka ya ndani basi bei zake si kitoto. Bei za spare za Jaguar kutokana na uchache wake zitakuwa juu tofauti na VW au AUDI. Upande mwingine ni gari imara ila very sensitive kama zilivyo product nyingine za Land Rover Company...
Wakija wengine watakupa mwanga zaidi. Ila heri uchukue Audi au Volkswagen kama ni die hard fan wa European Cars
 
Wakuu habari za majukumu, nina gari MAZDA DEMIO DBA-DY3W ninahitaji kubadilisha gearbox oil/hydrolic Oil. Ninaomba msaada ni aina gani ya gearbox oil/hydrolic oil kwa anayefahamu.
 
Madhara ni makubwa mno kuna umeme unaenda sehemu isiyo stahili gari inaweza kuugua moto muda wowote
Hyo ni static electricity inasababishwa na msuguano kati ya nguo zako na seat za gari. Jinsi ya kuidescharge shuka huku umeshika frame ya mlango kwa daka kadhaa ili au shika sehem yeyote ya metal ya gar kabla ya kushuka...kuna video zipo you tube unaweza zicheki
 
Habari za humu wakuu, naombeni msaada wa kimawazo , nimekutana na changamoto ya power window, sahivi hiyo power windows haipandishi kioo cha upande wa dereva ila vingine vyote vinapanda, ni baada ya kutoka car wash, vijana sijui walitia maji kitu kama hicho, maana ni upande huo wa dereva vingine vinapanda kama kawaida, sasa nipo kwa fundi hapa ananiambia maswala ya kununua switch mpya yani kagusagusa tu kaja na jibu rahisi hivyo.... Naombeni msaada gari ni IST, kuna mtu ame experience hilo tatizo
 
Habari za humu wakuu, naombeni msaada wa kimawazo , nimekutana na changamoto ya power window, sahivi hiyo power windows haipandishi kioo cha upande wa dereva ila vingine vyote vinapanda, ni baada ya kutoka car wash, vijana sijui walitia maji kitu kama hicho, maana ni upande huo wa dereva vingine vinapanda kama kawaida, sasa nipo kwa fundi hapa ananiambia maswala ya kununua switch mpya yani kagusagusa tu kaja na jibu rahisi hivyo.... Naombeni msaada gari ni IST, kuna mtu ame experience hilo tatizo
 
Back
Top Bottom