Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Okay. Zile za BP nafikiri ni Dextron II. Kuna ATF ya Toyota TIV ni nzuri saana, japo ni expensive kidogo. Unajua mara nyingi tunakosea kupima ATF wakati gari limepoa. Ile inatakiwa kupimwa gari likiwa hot.
 
Nimefurahishwa sana na hii comment yako Mkuu.

Sent from my Lenovo A1000 using JamiiForums mobile app
 
Okay. Zile za BP nafikiri ni Dextron II. Kuna ATF ya Toyota TIV ni nzuri saana, japo ni expensive kidogo. Unajua mara nyingi tunakosea kupima ATF wakati gari limepoa. Ile inatakiwa kupimwa gari likiwa hot.
ipimwe ikiwa hot, kumbe. Mi ni Honda crv. ok nitachunguza zaidi, asante

Sent from my XT1052 using JamiiForums mobile app
 
Haya ni matumizi mabaya ya decorations
-gari unaiongezea kilo bila sababu
-shape asilia inapotea
-ufujaji wa pesa
-etc

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Jamani kuna swali nimekutana nalo nimechemka naomba anayejua eti kuna form ngapi police anazijaza eneo la ajali na kazi ya kila form

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza kuna yard yoyote inayoruhusu ulipie gari kidogo kidogo kwa kuweka dhamana zaidi ya thaman ya gari huk ukiendelea kutumia gari...
Kwa makubaliano ya kimkataba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mmh hapana tyre kucheza haisababishwi na brake pads, inawezekana tatizo ni kubwa zaidi hasa kulegea kwa nuts

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwan nimesema brake pads? Mie nimesema bearing itakua imekufa kutoka na namna alivo elezea tatizo lake.. Akanunue bearing ambazo zinauzwa 40, 000 pia a- avoid kupita kwenye majimaji.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nataka kujua hivi gari ukibadili engine itasoma kilometa zilezile za Mwanzo au italeta kilometa za engine uweka
Nina maana hii kilometa za gari zinasomwa kwenye engine au zinasomwa sehemu nyingine tofauti na engine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…