0717228064Mkuu achia namba yako nikucheck, kuna mambo flani umenifungua macho mkuu
Nenda TRA utapata utaratibu mzima na kama learner yako bado ni validkwa sasa upatikanaji wa leseni vipi? mimi nilijifunza Gari mwaka 2013, nilikata learner Nina cheti cha driving Na Ile learner yangu ya 2013. nifanyaje nipate leseni ya udereva kwa urahisi?
Hapana mkuu, hizi gari za kisasa huwa ukichomoa betri Power WIndow zinaacha kufanya kazi mpaka kuprogram.. Kuprogram unafanya hivi, kila power window ya mlango wa gari unaibonyeza kwenda juu yaani kama unapandisha, kioo kikipanda chote usiachie button, Hold for 5 seconds .. fanya hivyo kwa kila mlango/power window.. utaona main switch kwa dereva itakubali- Hiyo ipo kwa Toyota Wish, Mark X, etcNi gari aina gani?
Hizi control power window zinazokaa kwenye mlango wa dereva nazo huwa zinapata shot ya umeme kwa kuchezea vibaya au namna yoyote ile mpelekee fundi umeme wa magari akakiangalie huenda akafanikiwa au kukibadili betri kubadili si tatizo
isije ikawa uliwasha fen ya ndani mkuu?? ingekuwa inatumia stering ya umeme hapo sawa
Gari gani umesema?Nini siri ya gari ya naumu kununuliwa kwa wingi hasa hii new model, msaada hapo?
Okay sijui ametumia takwimu zipi kuisemea maana mi ningesema labda IST.Raum kamaanisha
Unamaanisha push to start? Kwenye battery basi check mfumo nzima huenda kuna loose connection. Pata fundi wa uhakika wa umeme akuangalizie
Okay. Mosi brake light ikiacha kuwaka maanake bulb yake imeungua. Umeicheki? Ni kiasi cha kuibadili tu hiyo bulb(most likely) na haijalishi gari imetembea umbali gani inaungua mida wowoteHivi ni nn kinachoweza kusababisha brake light moja ikaacha kuwaka especially kama gari haijatembea sana....na je reflector ni nn maana nilikamatwa na traffic juzi coz brake light yangu moja ya upande wa kushoto ilikuwa haiwaki akaniuliza pia kama nina reflector
Break light kutowaka pengine ni bulb imeunguaHivi ni nn kinachoweza kusababisha brake light moja ikaacha kuwaka especially kama gari haijatembea sana....na je reflector ni nn maana nilikamatwa na traffic juzi coz brake light yangu moja ya upande wa kushoto ilikuwa haiwaki akaniuliza pia kama nina reflector