Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

FB_IMG_1749141469688.jpg
 
Hii gari ya kinyrwanda ime anguka jana jioni kaloleni kenya alikua natoka malindi kubeba chumvi dereva ame fariki 💔💔

nenda chanel unaweza kumtambua ⬇️

1749240691090.jpg
 
 
#HABARI Watu 28 wamefiriki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la mizigo aina ya Scania llilokuwa likielekea Tunduma mkoani Sogwe, kupata hitalafu katika mfumo wa breki na kuparamia guta na gari la abiria linalofanya safari zake kusafirisha abiria Kutoka mji wa Mbalizi kuelekea Nsalaga Uyole jijini Mbeya.

Ajali hiyo imetokea usiku wa Juni 7, baada ya gari hilo la mizigo kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kuyagonga guta na gari la abiria yaliyokuwa mbele yake na hatimaye basi hilo pamoja na guta kutumbukia mtoni.
1749385004603.jpg
 
 
 
Kibaha Tanita hii
 
 
Tahadhari, sio clip ya kuangalia kama una roho nyepesi, Boda boda huyo jana Wazo hill.
 
Sema huyu Dereva inaonekana alikuwa mwendo wa SGR maana huyu dereva wa hili bus amemgonga Swala mbugani mpaka kaingia ndani ya bus inaonekana huyu dereva alikuwa speed sana

Maana paka Swala kuingia ndani ya bus si mchezo
1751039733043.jpg
 
Back
Top Bottom