Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,549
- 34,877
Nina mshenzi Sana! Ila uchawi noma aisee huenda Gatanga akamuokoa Mzee LincolnWiki hii full uchawi,yani Lincoln umafia wote kumbe kwenye uchawi mwepesi.
Nina mshenzi Sana! Ila uchawi noma aisee huenda Gatanga akamuokoa Mzee LincolnWiki hii full uchawi,yani Lincoln umafia wote kumbe kwenye uchawi mwepesi.
Naona itakuwa mizimu ya Gatanga si mchezo.Nina mshenzi Sana! Ila uchawi noma aisee huenda Gatanga akamuokoa Mzee Lincoln
Yuko marekani kama sikosei.Hivi yule Nikiwe alipotelea wapi?
Halafu ameshaona raha now anataka aanze kupiga dili na mganga anamtafutie wateja.Nina ameamua kumkomoa Mzee Lincoln kichawi, mbaya Sana huyu mwanamke.
Kumbe!?Yuko marekani kama sikosei.
Mjanja wake Pastor Gabriel.Kumbe!?
Nilikuwa nampenda sana na ubabe wake!
Gabriel sio mtu kabisa...Mjanja wake Pastor Gabriel.
Fafanua kidogoMasikini Gatanga! Naona ameangushiwa jumba bovu na Lincoln ameingia anga za Nina lazima ajute.
Lincoln anamtuhumu Gatanga kwamba ndiye anayemloga kwa kuwa alifukuzwa kazi SG.Fafanua kidogo
Kwenye hiyo situation Lincoln atatoboa kweli ?Lincoln anamtuhumu Gatanga kwamba ndiye anayemloga kwa kuwa alifukuzwa kazi SG.
Nina akamwambia Lincoln kwamba Gatanga ni mchawi kweli kwani alipokuwa anamlipia matibabu alikuwa anamuibia fedha zake kichawi na amemshauri atafute Sangoma amuague.
Nina ameongea na yule mchawi wake wanayeshirikiana kumloga Lincoln ndio aende akamuague ili wamshughulikie Lincoln vizuri wakati huo huo hata mtoto wa Gatanga anamtuhumu baba yake eti anamloga Lincoln na Gatanga anashangaa kwanini anaangushiwa lawama na kila mtu.
Yupo njia panda maana anaonekana kama ameingia kwenye mtego wa Nina.Kwenye hiyo situation Lincoln atatoboa kweli ?
SawaYupo njia panda maana anaonekana kama ameingia kwenye mtego wa Nina.
Mzee Linc namuonea huruma dah! Sijui atatoboaje!Sawa
Hiyo ni current situation. Je huko mbele ataweza kumshinda Nina na mganga wake ?
Ila wa Sauzi Afrika kama walivyo waafrika wengi wanaamini sana ushirikina. Sijui shida nini.
Ila inashangaza jinsi Lincoln amenasa kirahisi mno kwenye mtego wa Nina! Gatanga naye anaonekana mbaya kwa kila mtu mpaka mtoto wake hamuamini baba yake.Yaan Nikiwe au Kat wakisikia Lincoln anavyomuamini Nina watashangaa sana
Maana Nina ni snake na ameweza kumuaminisha lincoln
Sema nahisi Nina atashindwa maana mganga wake anamuogopa gatanga
Tatizo la wenye pesa kudharau wasio nachoIla inashangaza jinsi Lincoln amenasa kirahisi mno kwenye mtego wa Nina! Gatanga naye anaonekana mbaya kwa kila mtu mpaka mtoto wake hamuamini baba yake.