Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Watu mmevimba south watawaacha miaka miwili sasa...
Yah napendaDestiny...... Unafuatilia kumbe
Ulifanya vyemaMimi jina langu lilitoka niende kambini wakati huo huo HESLB wametoa majina na nkabahatika na 100% . Nkachagua kuwasikiliza HESLB
Etii ehhe?Ulifanya vyema
Yeah...Ingekuwa inahusu tukio fulani tu basi story yake ingekuwa imeshaisha ila mule ni maisha ya kila siku. Kwahiyo mule watu wanaondoka, wanarudi,wanakufa ndiyo maisha hayo hivyo hakuna mwisho.
Na ndiyo maana popote tu ukianza kuangalia isidingo utaielewa.
yah Jkt sio PouwaEtii ehhe?
But kule ukifanikiwa kutoboa unakula vizuri national cake.yah Jkt sio Pouwa
kabisaBut kule ukifanikiwa kutoboa unakula vizuri national cake.
Ukipata fursa ya kwenda huko, nenda haraka. Usiogope kukimbizwa juani.kabisa
Nini kimempata ?R.I.P Hendrick Lategan
Kifo cha ghafla tu, heart attackNini kimempata ?
Duuuuuu. Yule mkewe atachanganyikiwa.Kifo cha ghafla tu, heart attack
R.I.P Hendrick Lategan
Atachoka kabisa na ule wake ugonjwa wa kupanikiDuuuuuu. Yule mkewe atachanganyikiwa.
Isidingo haiwezi kuisha story yake ni tofauti na story za tamthilia nyingine.Wanakufa halafu wanaibuka wengne.......aisee hii kitu haitaisha milele
Duuuh! Mkuu umetupeleka mbele sana. Wengi tunafuatilia ya ITV.R.I.P Hendrick Lategan
Ndio raha ya Isidingo,mie kuna muda huwa naacha kidogo kuangalia kama story ya wakati haijanivutia na baadaye naendelea. Kuna muda isidingo kama ilipoa fulani hivi basi akarudishwa Pastor alikuwa hayupo pale HD,basi ilikuwa balaa.Yeah...
Nimeanza kuiangalia 2001....kuna wakati inanipita mwezi au miezi miwili...nikirudi naanzia nnapoikuta...no stress