Mada maalum kwa wapenzi wa tamthilia ya Isidingo

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Messages
252
Points
500

Cvez

JF-Expert Member
Joined May 19, 2018
252 500
Ianze nyingine ili tuliozaliwa 2000s nao tuifuatilie...nimezaliwa nikaikuta hata kuifuatilia nimeshindwa kwani sijui ilianzaje
Wewe hujui Isidingo sio kama Telemundo, ukiamua kuifuatilia ndani ya muda mfupi tu unaelewa. Muundo wa hadithi yake ni wa matukio ya kila siku ndani ya Horizon Deep
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,436
Points
2,000

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,436 2,000
Ingekuwa inahusu tukio fulani tu basi story yake ingekuwa imeshaisha ila mule ni maisha ya kila siku. Kwahiyo mule watu wanaondoka, wanarudi,wanakufa ndiyo maisha hayo hivyo hakuna mwisho.

Na ndiyo maana popote tu ukianza kuangalia isidingo utaielewa.
 

Forum statistics

Threads 1,356,607
Members 518,917
Posts 33,134,264
Top