Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Jamani nielewesheni sielewi hizi siri za kina sibeko nikiwe na nina plz tell me...
Katlego alikuwa nke wa jef ambaye alikuwa mdogo wake lincolin. Lakini kumbe before katlego kukutana na jef kipindi katlego akiwa chuo ambako lincoln alikuwa mkufinzi wake waliwahi kuwa wapenzi na katlego akabeba mimba ya lincoln ambapo lincoln alimlazimisha aitoe jambo lililosababisha jef alipomuoa katlego kuwa ngumu kupata mtoto.
Hii siri waliificha katlego na lincoln na kwa mda mrefu hakuna aliyeijua lakini baadae ilikuja kujulikana.
Jef alipofariki kwa ajali ya ndege aliacha maagizo kwamba katlego asipewe mali zake zikiwemo shares za mgodi wa sebeko mpaka amalize mwaka pasipo kuwa na mwanaume.
Na kipindi hicho katlego alikuwa anatoka na calvin xavier ambaye alianza toka naye before hata jef kufariki.
So lincolin kwa kutaka kumkomoa katlego asipate kitu akaanza kumfuatilia ili apate ushahidi wa kumnyima mali.
Baadae walifkia makubariano waoane ndoa ya kimkataba zaid ili kulinda mali ya familia na kila mtu atakuwa huru kutoka na yoyote isipokuwa katlego haruhusiwi kutoka calvin.
So now katlego ana mimba ambayo lincolin kwa maneno ya nina zamdela anawaza inaweza kuwa ya calvin lakini ukweli ni kwamba calvin na katlego baada ya ndoa tu ya kimkataba na lincolin hawakuwahi kushiriki mapenzi.
 
Katlego atakufa waofuatilia sbc wako mbele na katlego atafariki.
Wanamchomoa coz ana mkataba wa kuigiza tamthlia nyingine
 
Eeeeeee leo mbona mwendo wa BUMBUWAZIII TUUU!!!!!!!!???????? Mfano calvin kaulizwa... Uligongana huko ulipokuwepo???? Naye lincon kaachwa bumbuwaziiii WEEEEEEE na katlego
 
Katlego anajiamini mimba ni ya Lincolin... Seriously sipendi anavyomdaught mwenzake
 
Katlego alikuwa nke wa jef ambaye alikuwa mdogo wake lincolin. Lakini kumbe before katlego kukutana na jef kipindi katlego akiwa chuo ambako lincoln alikuwa mkufinzi wake waliwahi kuwa wapenzi na katlego akabeba mimba ya lincoln ambapo lincoln alimlazimisha aitoe jambo lililosababisha jef alipomuoa katlego kuwa ngumu kupata mtoto.
Hii siri waliificha katlego na lincoln na kwa mda mrefu hakuna aliyeijua lakini baadae ilikuja kujulikana.
Jef alipofariki kwa ajali ya ndege aliacha maagizo kwamba katlego asipewe mali zake zikiwemo shares za mgodi wa sebeko mpaka amalize mwaka pasipo kuwa na mwanaume.
Na kipindi hicho katlego alikuwa anatoka na calvin xavier ambaye alianza toka naye before hata jef kufariki.
So lincolin kwa kutaka kumkomoa katlego asipate kitu akaanza kumfuatilia ili apate ushahidi wa kumnyima mali.
Baadae walifkia makubariano waoane ndoa ya kimkataba zaid ili kulinda mali ya familia na kila mtu atakuwa huru kutoka na yoyote isipokuwa katlego haruhusiwi kutoka calvin.
So now katlego ana mimba ambayo lincolin kwa maneno ya nina zamdela anawaza inaweza kuwa ya calvin lakini ukweli ni kwamba calvin na katlego baada ya ndoa tu ya kimkataba na lincolin hawakuwahi kushiriki mapenzi.

Hii sentence ya mwisho inanichanganya! Kwahiyo nani hakushiriki mapnzi Calvin na Kat au Kat na mumewe hawakudu kabisa hadi leo? Sijaelewa hapo
 
Katlego anajiamini mimba ni ya Lincolin... Seriously sipendi anavyomdaught mwenzake
Pia inaweza ikawa ya Calvin Xavier but anajipa Confo ili Lincoln aone Kama kakosea sana kumu-accuse juu ya "miracle baby"! Still hata wakienda for paternity test Katlego isn't dumb asubiri kuaibika anyhow!
 
Back
Top Bottom