Ahahahaaha ataisoma nambaYaaan Gabriel niliona ya mbele ni mhudum kwa Nina, baaada ya kuachwa na Nikiwe
Yaaan Gabriel niliona ya mbele ni mhudum kwa Nina, baaada ya kuachwa na Nikiwe
Khaaa skhu atamuweza kwel ninaHahahah inapendeza
Naisubiria couple ya nina na skhu
Hata kabla ya kuja HD aliwahi kufungwa ni tapelli toka zamaniYaan alivokua anahubiri cku hizi kawa tapeli![]()
Khaaa skhu atamuweza kwel nina![]()
Lincoln knows how to play dirtyNasubiri kwa hamu tu escape plan ya Mr Lincoln Sibeko
Mafia yuleLincoln knows how to play dirty
Haishi tuu niliiona nkiwa mtoto sasa Nina mtoto na mjuuku ataiona tu
Usijali mumy apo panatoshaFriday
Gabriel anafanikiwa kumzuga nikiwe kuwa alienda humo chumban kwa linc kuangalia alipokua analala gwiji wa migodi.nikiwe anamwambia wakalale chumban kwao
Matlala anaita changudoa chumban kwake,baada ya shughuli matlala anamlipa pesa,lerato anagonga mlango matlala anamficha changu,lerato anampa matlala barua kwamba imetoka kwa zukisa,changu anatokea na kumkiss matlala,lerato anakereka
Lerato akiwa anamnyooshea nguo sechaba analalamika kumkuta matlala na changudoa,ila sechaba anamuunga mkono matlala,lerato anasema ataenda dai fidia kwa barker ya kukatika kwa maji. Morogwa anagonga hodi na kuja mlalamikia sechaba kuhusu haki zake za kazin
Aphiwe analalamika kwa calv kuhusu kamo na obakeng ila calvin hamsapoti maana hana imani na zamdela. Aphiwe anachukio kuona calv hamwelew
Nikiwe kaenda ofisin kwa barker kisha anampa barker ofa ya kuununua mgodi wake na maden yaliyopo
Home kwa calvin,Calvin anamkuta angie akiwa bwii na pombe,calv anamshaur asinywe pombe haisaidii ila angie hamwelew
Morogwa anamwambia matlala kuwa kawapa SG mashart ya mkataba wake na wanaufanyia kazi
Gabr anapeleka vito kwa nina
Kgotha anamwalika nikiwe aende jion room kwake kwa vinywaji
Nina anampigia simu linc akimwambia vito vipo mikonon mwake,linc anauliza kuhusu nikiwe,nina anamwambia hakutuma vijana wake wakat penthouse kuna mwizi na tapeli so alimtuma huyo,linc anasema alijua tu gabr hafai.kisha wanaongelea mpango wao
Skhu kashangaa kukuta anadaiwa na benk deni la mamilion,haamin na kumuuliza aphiwe akionacho aphiwe anamwambia ni sahihi anachokiona,skhu anashangaa na kuona atafilisika
Jion,angie yupo sebulen peke yake akinywa whisky huku akikumbuka moments na tyson
Kgotha yupo na nikiwe duncan room nao wakienjoy vinywaji na story za hapa na pale
today am sorry sijaifafanua sana
Ucjal kpnz nashkr piaFriday