we kiboko yaoIle glass yangu ya Grants ilibaki salama kabisa na kimiminiko chake, nikapigiwa na makofi badala ya kuchekwa.
Walevi big up sana
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza kutokwa na machozi 😄Na pole ukipewa ndio zinaongeza hasira bora wajifanye hawajakuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Bafuni kabla ya kuingia chooniNa tuliowahi kuanguka bafuni pia tunacomment hapa?
Nikiwa pale chini, nkatoa simu yangu, nikajipiga selfie, nikajifuta, nikaendelea na safariHakuna kitu kinatia aibu kama kuanguka mbele za watu yaani hata kama ni bahati mbaya lazima uishiwe na nguvu na kujiamini kunapotea kabisa ikikukuta ndio utaelewa vizuri .