Mada kwa waliowahi kuanguka mbele ya watu(sio kwa maradhi) ulijisikiaje na ulichukua maamuzi gani baada ya tukio?

Galbi

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
406
614
Hakuna kitu kinatia aibu kama kuanguka mbele za watu yaani hata kama ni bahati mbaya lazima uishiwe na nguvu na kujiamini kunapotea kabisa ikikukuta ndio utaelewa vizuri .
 
Niliwahi kuanguka nikiwa shule natoka jikoni nikiwa nimeshikilia sahani ya wali uso ulijaa vumbi lakini cha ajabu wali haukumwagika😅😆.. Sikupata aibu yoyote .
😄 😄 😄 😄 wali wa shule ulivyo adimu tena.
 
Hakuna kitu kinatia aibu kama kuanguka mbele za watu yaani hata kama ni bahati mbaya lazima uishiwe na nguvu na kujiamini kunapotea kabisa ikikukuta ndio utaelewa vizuri .
Nikiwa pale chini, nkatoa simu yangu, nikajipiga selfie, nikajifuta, nikaendelea na safari
 
Back
Top Bottom