machungu ya kumpenda mtu akaleta dharau

wahida

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
385
125
naomba ushauri jamani.. nahis niko un lucky kwenye mapenzi,, nimempenda mtu ambae hatuja wahi kukutana ktk maisha yangu ,,tumejuana kwa kiasi kikubwa kumtatlulia problem zake huko aliko ,,lakin kumbe yeye yuko tofauti saiv nimesha athirika kisaikogia nn nifanye na ananidharau?
 
mnh, ....umemtatulia shida gani hizo ilhali hamjawahi kuonana?
labda tuanzie hapo...isije ikawa nawe ni victim wa (scams) utapeli wa Nigerians!
 
naomba ushauri jamani.. nahis niko un lucky kwenye mapenzi,, nimempenda mtu ambae hatuja wahi kukutana ktk maisha yangu ,,tumejuana kwa kiasi kikubwa kumtatlulia problem zake huko aliko ,,lakin kumbe yeye yuko tofauti saiv nimesha athirika kisaikogia nn nifanye na ananidharau?
Wa2 wengine bana!
 
jamani ilikuaje mpaka ukamwamin kiasi cha kumsaidia matatizo yake ihali hamjawai kukutana.
 
unajua huwezi amini but ukweli ndio huo,, anapenda vya bei ghali,, mimi ninajifanya ni na imani ,kumbe mapenz haya nunuliwi..im died
 
naomba ushauri jamani.. nahis niko un lucky kwenye mapenzi,, nimempenda mtu ambae hatuja wahi kukutana ktk maisha yangu ,,tumejuana kwa kiasi kikubwa kumtatlulia problem zake huko aliko ,,lakin kumbe yeye yuko tofauti saiv nimesha athirika kisaikogia nn nifanye na ananidharau?

Ulilazimishwa kumsaidia? Tenda wema nenda zako usingoje shukrani....
 
Ni ngumu sana kupata msaada kwa jinsi unavyojieleza,toa maelezo kidogo imekwaje hamkuonana na ilikwaje unamsaidia?je ni mtanzania ?na upo naye umbali kiasi gani na msaada aliokuwa anauhitaji kwako ni kama nini na nini?je alishawa kupa ahadi ya kuonana na wewe akashindwa kutimiza akisingizia dharura?je amekuwa mtu wa ahadi sana?jaribu kuelezea kwa hints kama hizi.
 
naomba ushauri jamani.. nahis niko un lucky kwenye mapenzi,, nimempenda mtu ambae hatuja wahi kukutana ktk maisha yangu ,,tumejuana kwa kiasi kikubwa kumtatlulia problem zake huko aliko ,,lakin kumbe yeye yuko tofauti saiv nimesha athirika kisaikogia nn nifanye na ananidharau?
Mkuu jikaze, utafanyaje tena na ndio tayari MOYO WAKO UMEISHAKUDANGANYA NA SASA UNAKUUMIZA? Accept the reality then fikiria ni jinsi gani ya kurudisha akili na hali yako ya kawaida. Ushauri wangu nenda kwa psychologist proffessional atakusaidia!
 
Tafuta professional help (psychology )
Na pole sana

Aaah! Wapi? Haitamsaidia tamaa mbeeele, unadhani kila unapomsaidia mwanamke/ mwanaume ni lazma muwe wapenzi? No! Kumsaidia mtu ni ubinaadamu wako tu, na ukitoa toa bila kukumbuka.
 
tatizo ninin?
JIELEZEE KWA KIREFU..unaleta habari kimini apa watu watakusaidiaje sasa?
funguka ueleweke...
naenda kupika uji nkirud nkute ushajifungua,.....:A S-baby:
 
naomba ushauri jamani.. nahis niko un lucky kwenye mapenzi,, nimempenda mtu ambae hatuja wahi kukutana ktk maisha yangu ,,tumejuana kwa kiasi kikubwa kumtatlulia problem zake huko aliko ,,lakin kumbe yeye yuko tofauti saiv nimesha athirika kisaikogia nn nifanye na ananidharau?

soma maelezo yako vizuri utamgundua adui yako na utaona hukuhitaji hata kuomba ushauri hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom