Machungu ya kukosa ajira

Machungu ya kukosa ajira

Bora uangukie chaputa lakini usowe mraibu wa pombe/sigara/bangi/ngada ...

Hizi mambo ndo zinpoteza jobless wengi sana aisee, stress zinamaliza sana watu.

Mtu anaona haikua na maana ya yeye kusoma, na hii kitu itaathiri elimu ya watoto siku za mbeleni.
Sure mkuu inafika hatua unaona haikua na maana ya kupoteza muda kusoma, alafu utakuta mtu kaajiliwa na ajira yenyewe kaipata kwa connection au hawamu za kikwete na mkapa ambapo kupata ajira ilikua kitonga anakwambia lengo la shule ni kuelemika tu au jiajiri., mwambie aache ajira atumie elimu yake kutengeneza fursa au ajiajiri zinaanza siasa
 
Aiseeee wewe acha kabisa, sikia tuu story kwa watu ila omba yasikukute au uwe ushapita kwenye kipindi kama hiki, ni ngumu sana kukubaliana na hii hali ya kukosa ajira hasa ukikumbuka miaka mingi uliyoipoteza kuipata elimu, 1+7+4+2+3/4/5 years in school afu unafika mtaa unakutana na stori za kujiajiri afu ukicheki huna hata mia ya mtaji

Wengi watabeza na kukejeli lakini kwa wanaopitia hali hii wanaelewa uchungu na mateso yaliyomo hasa kifikra na kihisia, it's very hard to live it.

Namuomba Mungu akatufanyie wepesi vijana wenzangu wote tunaopitia hali hii na ikafike mwisho kabla mwaka huu haujaisha either tuwe tumepata ajira au mitaji kwa ajili ya biashara au kilimo au ishu yoyote.

Zaidi ya yote usiombe uwe ulijifunza na kubet ukiwa chuo au ukiwa mtaani,hio ndo balaa zaidi,unaweza ukasema hii buku em ngoja niikuze walau nipate elfu tano, Bayern Munich anapigwa wakati kila game alikua anashinda.

Oyaa sio poa wazee,sema fresh nothing is permanent.
Ninapopitia nyakati ngumu kama hizi watu wanaonizunguka huwa wananionea huruma sana lakini huwa nawaambia "hizi tabu mnazoziona kitambo tu zitabaki historia,kazeni roho. Kuna maana kubwa sana ambayo ninyi hamuioni ya mimi kupitia haya!"
 
Sure mkuu inafika hatua unaona haikua na maana ya kupoteza muda kusoma, alafu utakuta mtu kaajiliwa na ajira yenyewe kaipata kwa connection au hawamu za kikwete na mkapa ambapo kupata ajira ilikua kitonga anakwambia lengo la shule ni kuelemika tu au jiajiri., mwambie aache ajira atumie elimu yake kutengeneza fursa au ajiajiri zinaanza siasa
Acha kabisa mkuu donda la kukosa kipato ni kubwa kwa sasa.

Kujiajiri kuna changamoto sana sana.
 
Sure mkuu inafika hatua unaona haikua na maana ya kupoteza muda kusoma, alafu utakuta mtu kaajiliwa na ajira yenyewe kaipata kwa connection au hawamu za kikwete na mkapa ambapo kupata ajira ilikua kitonga anakwambia lengo la shule ni kuelemika tu au jiajiri., mwambie aache ajira atumie elimu yake kutengeneza fursa au ajiajiri zinaanza siasa
Wangejua wanavyouzi ..wangekaa kimya tu
 
Iyo siku nimetoka kupiga zege hatujalipwa siku hiyo. Narudi geto sijui nakula nini hapo nimechoka kinyama. Nampigia simu bi mkubwa saa nne usiku hiyo anicheki hata hela ya kula. Kama balaa vile katuma wakala kakosea namba. Mpaka wakala apige simu makao makuu wairudishe ilifika saa tano holaa. Dah nikaumiza kichwa ikabidi nimcheki mdada mmoja niliyekua nimezoeana nae muuza duka. Muda huo saa tano alishafunga mda,ila nikaenda kumgongea kubahatisha kama ataamka. Kwa bahati nzuri aliamka nikamuelezea shida yangu. Akanipa unga wa ngano, sukari na majani. Nikarudi geto nikakanda unga nipike chapati na chai ninywe nilale. Asee sitasahau nilipika chapati ngumu ukikunja inavunjika . Sikujali nilikunywa na chai nikalala na ule uchovu wa zege usingizi ulikua mtam sana. Sitasahau hiyo siku mpaka nilipiga selfie nikiwa nakula hizo chapati nimehifadhi nitakuja waonyesha watoto wangu.
pole sana..haya maisha haya ni mengi tunakutana nayo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Bank bila dhamana ya nyumba utoboi...Mimi nimekwenda Crdb na NMB bank ,kote dhamana wanataka.
Dhamana ya nyumba pia wakati huo uwe na biashara hawakupi hivi hivi kama hawajachungulia miamala yako ya kibenki kupitia biashara uliyonayo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mie nilikuwa na gelo frend akiniambia " huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni" kila ukikaa ukianga mche wa sabuni unaona kweli mbele sii mbwle nyuma sii nyuma

Ah wee mwanamke hakai kama huna chedez...ndio maana bora uwagegede tuu wala usiumize kichwa kwamba eti anakuoenda.
Wee penda tako lake yeye wacha apende hela zako basi.
 
Bora uangukie chaputa lakini usowe mraibu wa pombe/sigara/bangi/ngada ...

Hizi mambo ndo zinpoteza jobless wengi sana aisee, stress zinamaliza sana watu.

Mtu anaona haikua na maana ya yeye kusoma, na hii kitu itaathiri elimu ya watoto siku za mbeleni.
Kabisa ni ufala Sana mtu unapoteza 20+ godamn years kwenye academics halafu uje uwe muuza karanga barabarani ni us£nge WA Hali ya juu Sana ,No way
 
Back
Top Bottom