Kama sikosei hiyo wanaita kuganga njaaKuna kipindi nilikuwa naamka hela ya kula siku husika naenda kuitafuta siku hiyohiyo nakumbuka kipindi cha masika asee nilishinda njaa demu akanikimbia kaenda kuolewa na mwingine kwa sasa namshukuru Mungu nilipofika bado napambana nifike mbali zaidi
NakubaliTunatamani kusema hapa tuloyapitia lkn sio mashindano, wakat wako utafikaa tuu endeleaa kupambana.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Jamani hakuna kipindi kigumu kwenye maisha ,kama ukosefu wa Ajira,.Mimi binafsi nimeapa ,kamwe siwezi kuongeza neno Kwa jobless, ikiwa Sina Cha kuwasiadia, basi at least nisiwaumize.Watu wanaongea ongea tuu kisa wapo kwenye system,ila msoto wa kuwa jobless ni mzito mno...Aiseeee wewe acha kabisa, sikia tuu story kwa watu ila omba yasikukute au uwe ushapita kwenye kipindi kama hiki, ni ngumu sana kukubaliana na hii hali ya kukosa ajira hasa ukikumbuka miaka mingi uliyoipoteza kuipata elimu, 1+7+4+2+3/4/5 years in school afu unafika mtaa unakutana na stori za kujiajiri afu ukicheki huna hata mia ya mtaji
Wengi watabeza na kukejeli lakini kwa wanaopitia hali hii wanaelewa uchungu na mateso yaliyomo hasa kifikra na kihisia, it's very hard to live it.
Namuomba Mungu akatufanyie wepesi vijana wenzangu wote tunaopitia hali hii na ikafike mwisho kabla mwaka huu haujaisha either tuwe tumepata ajira au mitaji kwa ajili ya biashara au kilimo au ishu yoyote.
Zaidi ya yote usiombe uwe ulijifunza na kubet ukiwa chuo au ukiwa mtaani,hio ndo balaa zaidi,unaweza ukasema hii buku em ngoja niikuze walau nipate elfu tano, Bayern Munich anapigwa wakati kila game alikua anashinda.
Oyaa sio poa wazee,sema fresh nothing is permanent.
Acha kabisa umenikumbusha nilikaa bila kazi miaka mitatu...nilishia kujiunga chaputa tuu maana ndio nji ya kutoa stress za maisha. Warembo wanakukwepa kama ukoma, ndugu ndani ya nyumba vikejeli vya hapa na pale, huna raha kabisa. Faraja ya gu ikawa kuanga lia pornography na kunyetuka tuu.Mi najisemeaga miongoni mwa vitu ambavyo omba Mungu usivipitie basi ni kukosa ajira. Tena hasa pale linapogeuka kuwa tatizo sugu kwa upande wako, yani unakaa mtaani miaka 3,4,5+ huelewi. Halafu kumbuka umri haukusubiri unakuta wenzio wanaotea magepu vitengo vizito vizito, wanaoa/kuolewa, wanafanya maisha mengine we bado umestuck palepale, nyumbani unaanza kudharaulika unaonekana hamna kitu. Hizo stress zake aiseee hakuna rangi utaacha ona. Mbona utaona duniani sio mahala salama pa kuishi!
Dah!Mzee Ukawa unapiga nyeto kabisa,ila ukiwa jobless mademu wanakimbiaga na kukataa Wana,mimi pia ni shahidi wa hilo....Acha kabisa umenikumbusha nilikaa bila kazi miaka mitatu...nilishia kujiunga chaputa tuu maana ndio nji ya kutoa stress za maisha. Warembo wanakukwepa kama ukoma, ndugu ndani ya nyumba vikejeli vya hapa na pale, huna raha kabisa. Faraja ya gu ikawa kuanga lia pornography na kunyetuka tuu.
Hili jambo lisikie tuu kwa wengine lakini lisikifike wewe au mtoto wako. Mzazi u aona kabisa anaumia ila ndio hivyo tena atafanyaje wakati system inakwambi ukajiajiri. System inaponge mtu mwenye masters kuendesha bajaj au kuuza kande. Mweli bongo nyoso. Nilikuwa naona jamaa wajinga ila nimekuja kuamini bora uzaliwe kama mbwa wa oprah kuliko kuzaliwa kama mwafrica
🤣🤣🤣🤣 Mie nilikuwa na gelo frend akiniambia " huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni" kila ukikaa ukianga mche wa sabuni unaona kweli mbele sii mbwle nyuma sii nyuma 🤣🤣🤣🤣🤣Dah!Mzee Ukawa unapiga nyeto kabisa,ila ukiwa jobless mademu wanakimbiaga na kukataa Wana,mimi pia ni shahidi wa hilo....
😂 ila mkuu mimi kipindi sina kazi japo sijakaa sana kitaa nilifanikiwa kua na kibanda cha uwakala sasa mademu wengi sana wakawa wanajigonga wenyewe wakijua nina ela kwahyo sikukutana sana na hayo masahibu.Dah!Mzee Ukawa unapiga nyeto kabisa,ila ukiwa jobless mademu wanakimbiaga na kukataa Wana,mimi pia ni shahidi wa hilo....
Mie nilikuwa na gelo frend akiniambia " huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni" kila ukikaa ukianga mche wa sabuni unaona kweli mbele sii mbwle nyuma sii nyuma
Ah wee mwanamke hakai kama huna chedez...ndio maana bora uwagegede tuu wala usiumize kichwa kwamba eti anakuoenda.
Wee penda tako lake yeye wacha apende hela zako basi.






Hapana bossCommission? Sio jamii za Qnet na Aim global izo mkuu?
Nimecheka walahi kama mazuri, ila kipindi cha ukosefu wa Ajira wanawake wangejua ndio chakujipatia wanaume wa kuwaoa...Mie nilikuwa na gelo frend akiniambia " huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni" kila ukikaa ukianga mche wa sabuni unaona kweli mbele sii mbwle nyuma sii nyuma
Ah wee mwanamke hakai kama huna chedez...ndio maana bora uwagegede tuu wala usiumize kichwa kwamba eti anakuoenda.
Wee penda tako lake yeye wacha apende hela zako basi.
Mshukuru Mungu kaka...wengine hapo kwenye kupata mbususu ni mtihani....mpaka huruma aisee.ila mkuu mimi kipindi sina kazi japo sijakaa sana kitaa nilifanikiwa kua na kibanda cha uwakala sasa mademu wengi sana wakawa wanajigonga wenyewe wakijua nina ela kwahyo sikukutana sana na hayo masahibu.
Wao wanataka ready made maana ukweli usemwe na sie vidume bwana tukishapata hela tunaanza sema huyu demu sio level yangu...shida ipo hapo kwetu sie wanaume pia.Nimecheka walahi kama mazuri,ila kipindi Cha ukosefu wa Ajira wanawake wangejua ndo chakujipatia wanaume wa kuwaoa...
Ila bora uwe na uhakika wa kupata chochote mkuu ata unaweza ingia bank uvute mkopo wa maana ufanye mambo mengine kuliko kukaa bure.Maisha Ni Vita. Ajira zenyewe watumishi wanalia, huku tozo huku Kodi Yani hakuna mwenye unafuu.
Kweli yaan,pia na sisi ni mizinguo hasa tukitoboa, tunasahau tulio vuka nao kwenye misoto yetu.Wao wanataka ready made maana ukweli usemwe na sie vidume bwana tukishapata hela tunaanza sema huyu demu sio level yangu...shida ipo hapo kwetu sie wanaume pia.
So sometimes mie nasema wanawake kumtosa mwana ambaye hana hela ni fresh tuuu kwa kuwa wanajua kuwa utahangaika nae na kumvumilia mbeleni akishafanikiwa anataka aende kutomber wakina paula![]()
Bank bila dhamana ya nyumba utoboi...Mimi nimekwenda Crdb na NMB bank ,kote dhamana wanataka.Ila bora uwe na uhakika wa kupata chochote mkuu ata unaweza ingia bank uvute mkopo wa maana ufanye mambo mengine kuliko kukaa bure.
Watu huwa nawaambia wewe kama hujapitia msoto WA kuwa jobless usiongee shit ,just shut your mouth up !Jamani hakuna kipindi kigumu kwenye maisha ,kama ukosefu wa Ajira,.Mimi binafsi nimeapa ,kamwe siwezi kuongeza neno Kwa jobless, ikiwa Sina Cha kuwasiadia, basi at least nisiwaumize.Watu wanaongea ongea tuu kisa wapo kwenye system,ila msoto wa kuwa jobless ni mzito mno...
Siku moja fanyeni harakati za kumpiga mawe, mwanasiasa atakaye ongea shit kuhusu jobless....



, unaweza kuamua kuwa muasi hakyanani