Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,472
- 3,067
Lazima ukonde maana unakuwa kwenye stress nyingiDaah kmmake ilishanikuta hali hii nilikondeana kama Bomba la bendera
Lazima ukonde maana unakuwa kwenye stress nyingiDaah kmmake ilishanikuta hali hii nilikondeana kama Bomba la bendera
Nakumbuka kipindi hiko nilikutana na ndugu yangu mmoja akanambia "tatizo mnataka muajiriwe moja kwa moja, tafuta internship kwanza ujitolee". Lakin mkuu nikwambie tu hata internship sio kirahisi hivyo. Unaweza ukatafuta na ukakosa vilevile. Japo mara kadhaa naona kuna makampuni yanatoa internship kwa graduates wenye GPA ya 3.5 and above sasa wenzang wa lower second na zile GPA za ilimradi niendelee kubaki chuoni sijui twende wapi.Kipindi kama hiki sio cha kupoteza muda, kama ukipata sehemu ya kujiingizia kipato ni vizuri, ukikosa basi tafuta sehemu ya kufanya internship hata usipolipwa kitu, muhimu upate uzoefu ambao utakusaidia kupata ajira bdy
intership nazo za moto siku hiziNakumbuka kipindi hiko nilikutana na ndugu yangu mmoja akanambia "tatizo mnataka muajiriwe moja kwa moja, tafuta internship kwanza ujitolee". Lakin mkuu nikwambie tu hata internship sio kirahisi hivyo. Unaweza ukatafuta na ukakosa vilevile. Japo mara kadhaa naona kuna makampuni yanatoa internship kwa graduates wenye GPA ya 3.5 and above sasa wenzang wa lower second na zile GPA za ilimradi niendelee kubaki chuoni sijui twende wapi.
G.P.A ni muhimu lakini sio lazima, pambana usichoke. Vyeti ni kwa ajili ya attachment tu, muhimu ni wewe mwenyewe, either una connection au ujipambanie mwenyeweNakumbuka kipindi hiko nilikutana na ndugu yangu mmoja akanambia "tatizo mnataka muajiriwe moja kwa moja, tafuta internship kwanza ujitolee". Lakin mkuu nikwambie tu hata internship sio kirahisi hivyo. Unaweza ukatafuta na ukakosa vilevile. Japo mara kadhaa naona kuna makampuni yanatoa internship kwa graduates wenye GPA ya 3.5 and above sasa wenzang wa lower second na zile GPA za ilimradi niendelee kubaki chuoni sijui twende wapi.
Duu hatari sanaKatika harakati za kupambana na ujobless nilipitia mpaka utangi boy, nimelala sana geti namba tano bandari. Pigwa sana vumbi pale na baridi mpaka sio poa na usiombe kipindi cha mvua kifike.
Kimbiza sana kontena, nilikuwa na howo moja hivi linasumbua gia ngumu balaa, nilipambana nalo mpaka nikaishia kupata maumivu ya mkono yasiyoisha.
Kipindi hiko nilikuwa na pisi moja hivi hata hajui nafanya nini, ikifika usiku mkali tunaagana vizuri naenda kulala kumbe ndio zamu yangu ya kushika usukani imefika na yeye babu dere akae kushoto.
Ikitokea siku chuma limezingua unasema asante maana ndio siku unarudi nyumban kupumzika, kubadilisha nguo, kuoga vizuri, kusalimia ndugu, jamaa na marafiki mtaani na kulala vizuri kitandani kwa amani sio chini tena.
Ipo siku yatakuwa historiaukweli mtupu.kukaa benchi ninoma wazee plus kukosa uhakika wa kula mchana haloo God come to rescue us
Ipo siku yatakuwa historia
HahahKuna siku nilibamizwa na njaa mpaka nikaanza kucheka bila kujua nacheka nini.
Nikiwa kitaa nilipita sehemu ya chakula nikamuona mtu amechukua chakula kidogo nikaanza kumtukana kimoyomoyo si angechukua chakula kingi halafu anipunguzie abakishe ale hicho kidogo anachotaka.
Yes ajira ndo hazipoKazi ni nyingi ila ajira ndiyo hakuna