Machungu ya kukosa ajira

Machungu ya kukosa ajira

Kum face mchuchu ukiwa huna posho ni kigingi, kila demu mzuri lazma utakuwa unamkwepa tu sababu unahisi gharama zake hutaziweza.
Kabisa masta, kwanza kuna kipindi kinafika ukitongoza dem kabla hata hajakukubalia muende sawa utaona anakuuliza maswali ya kutaka kukujua unaishije mjini hapa na mishe zako, kama ndio apeche alolo unashangaaga tu ashakucrop hata sms hajibu. Oya..sio poa inauma kinyama maana unakuwa ushajua sababu iliyokukosesha mchuchu.
 
Kabisa masta, kwanza kuna kipindi kinafika ukitongoza dem kabla hata hajakukubalia muende sawa utaona anakuuliza maswali ya kutaka kukujua unaishije mjini hapa na mishe zako, kama ndio apeche alolo unashangaaga tu ashakucrop hata sms hajibu. Oya..sio poa inauma kinyama maana unakuwa ushajua sababu iliyokukosesha mchuchu.
Noma kweli
 
Chelsea jana kawatenganisha na hela zao vijana wasio na ajira
Hawa hapa
IMG_20220831_095555.jpg
 
Daa tukasema labda hii kazi ya sensa itapunguza machungu, lakini ndo kwanza wamewapa waajiriwa tena.
 
Angalau wangetoa kipaumbele kwa vijana waliomaliza vyuo ila hawana ajira, ndio wakaifanye kazi ya sensa kupunguza ugumu wa maisha. Eti waalimu ndo wanapewa kipaumbele
 
Noma sana nimeuza sana matunda kinondoni studio nikaja kuuza ma apple mbagala rangi tatu pamoja na ubuyu nikajaribu kuchukua vitu kutoka Zanzibar naleta DSM sio poa unakimbiwa na mchuchu pamoja na washikaji wanakudharau ila alhmdulilah sasa hivi kila mwisho wa mwezi unaona sms ndugu mteja umepokea kiasi cha kitoka kwenye namba hyo ni jambo la kushukuru kwa kweli.
Big up!!...Fight to the end
 
Aiseeee wewe acha kabisa, sikia tuu story kwa watu ila omba yasikukute au uwe ushapita kwenye kipindi kama hiki, ni ngumu sana kukubaliana na hii hali ya kukosa ajira hasa ukikumbuka miaka mingi uliyoipoteza kuipata elimu, 1+7+4+2+3/4/5 years in school afu unafika mtaa unakutana na stori za kujiajiri afu ukicheki huna hata mia ya mtaji

Wengi watabeza na kukejeli lakini kwa wanaopitia hali hii wanaelewa uchungu na mateso yaliyomo hasa kifikra na kihisia, it's very hard to live it.

Namuomba Mungu akatufanyie wepesi vijana wenzangu wote tunaopitia hali hii na ikafike mwisho kabla mwaka huu haujaisha either tuwe tumepata ajira au mitaji kwa ajili ya biashara au kilimo au ishu yoyote.

Zaidi ya yote usiombe uwe ulijifunza na kubet ukiwa chuo au ukiwa mtaani,hio ndo balaa zaidi,unaweza ukasema hii buku em ngoja niikuze walau nipate elfu tano, Bayern Munich anapigwa wakati kila game alikua anashinda.

Oyaa sio poa wazee,sema fresh nothing is permanent.
Huu ni ukweli mchungu kwa wengi. Mwenyezi mungu atuongoze....
 
Back
Top Bottom