Hardware ya kike; software ya kiume!!!
Nikiwa na maumivu makali ya aina yoyote,physical or emotional,chozi linashuka automatically...inasaidia kupunguza stress
Aisee hivi hili mnafundishwa wadada au ni nini kwa mfano!!!!??????
Mbona wote vilizi.....
snowhite, Kongosho, 64Bits, miss neddy, Heaven on Earth ni juu ya nini kumwagapo michozi
Hahaaaa kaka mi huwa nalia kweli kweli. Tena siku nikilia niache tu nimalize maana nina damu ya umasai huko kwa mababu nsije kukufanya kitu kibaya bureeee. Ila kulia kunanisaidia kupunguza hasira baada ya hapo najiuliza whay next. Ila ndugu yangu niwe mkweli kuna saa nalia kumuibia mtu teheee. For example... ugomvi ndani hauishi unaweza kutoa chozi la uongo na kweli pale hubby akakubembeleza ikawa usha solve issue teheeww. Ila wanaume wengine soo hata ukalia anauchuna tu.
NB; Strategy hii ya kulia niliyoielezea hapo juu inabidi itumike kwa nadra sana jamaa asije kushtukia akaona ndo zako itakuwa haina effect tena lol! Pia waweza kutumia njia hii ya machozi ya kimya kimya kutia msisitizo kwenye shida yako hubby aichukulie kwa uzito zaidi (mpaka wife analia tehee). Waweza kumchomoa na ka pesa ka usumbufu kwa njia hii pia teheee. Nawasilisha!
Ha ha ha ha, nikuambie kitu? Kila nakokwenda na wasikonijua, watu huwa wanategemea kupokea Me.
nikiwa na hasira nakuwa na kitu kama donge limenikaba kooni, nakuwa siwezi ongea wala kufanya kitu chochote productive. ila nikilia na machozi yanavyotoka nahsi kama yanayeyusha kile kitu kilichonikaba kooni.
baada ya hapo hata sijuagi usingizi unatokaga wapi ila kinachofata ni kulala na nikiamka nakuwa fresh kabisa.
Wanawake wengi sana wamekuwa wakilia pindi wanapo pata matatizo, wameshindwa kuvumilia yale yanayotupata, mfano wengine huniambia tunawaambia wakilia wana machozi ya promotion.
Hii pia nimeiona kwa wanawake wengi, wanalia weeeeeeee, wakinyamaza wanaona kama wameshatua mzigo kwa kiasi fulani, kama ni hasira basi wanaona imepungua kwa sehemu.
Utakuta mtu anatafuta na private place, anajifungia kama ni chumbani peke yake, analia kwa uchungu sana, na anaweza kuchukuwa muda mrefu sana kwa kulia.
Mwingine akitoka kulia huwa na hasira sana, atapiga watoto, usimsemeshe, anaweza kukupa jibu moja tu, ukanyanyua mikono juu.
but problem inabaki pale pale
hali hii humfanya mwanamke kuwa mpweke sana kwa muda mrefu,
mwingine hataki kubembelezwa hata kidogo, yani ukimbembeleza ni kama umemwambia azidi kulia
Lakini tatizo linakuwa palepale, sasa hebu tusaidiane kushauriana juu ya hili, je inawezekana mtu kuiacha hali hii??? na utaiachaje? ili ukipata tatizo usilie tena?
kweli kabisa mzizi mkavu.kulia hupunguza stress
Tuko wengi aisee, tena icho kitu huwa kinauma mpk chozi litoke ndo unajiskia vizuri.