OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hapana, mimi silii ninapochukia au kupatwa na hasira, ila huwa siachi kuonyesha dalili za kuumia kwa uso kukunja na kuongea kwa ukali.
Mahakamani sio mahali pa kudondosha machozi, kwani kesi ni ya mteja (wateja) na wala sio ya wakili. Kazi ya wakili/mawakili ni kuhakikisha taratibu za kimahakama zinafuatwa na haki inatendeka katika hatua zote za kusikiliza kesi ya jinai au madai.....period.
Likely, machozi ya kuumia/hasira au furaha nitatoa kwenye matukio yafuatayo:-
1. Kufariki kwa ndugu yangu, rafiki mpendwa, jirani mpendwa, n.k
2. Ajali mbaya yenye kukatisha tamaa kwa uhai wa ndugu yangu, rafiki, jirani, n.k
3. Kupanda daraja la maisha, mfano elimu, ndoa, n.k
N.B: Machozi yakitoka ujue umeumia/kuchukizwa au kufurahia kwa kiasi kisichosemeka as it is an automatic event to happen unless uwe unavuta bangi, kubwia unga, una matatizo ya macho, n.k
Aaaaaanh wakili tena kwa maelezo!!!!
Umesomeka kaka Mkiliman
Last edited by a moderator: