Machozi ni suluhisho la matatizo ya mwanamke?

Machozi ni suluhisho la matatizo ya mwanamke?

Kama kitu kimenisibu, nikilia kwa kiasi fulani inanipunguzia maumivu though nakuwa na hasira sana, huwa inanichukua muda kiasi hadi hasira zishuke
 
kwa mim inanisaidia sana na huwa napata relief kubwa sana napo lia nakuwa na amani na ninasamehe pia..... nikizidiwa kama nagombana napata kigugumizi ghafla alafu naanza kulia bila mimi kupenda... nikiwa naona aibu najikuta nalia
 
Back
Top Bottom