Mwanamke kaumbwa na moyo wa huruma, upendo wa dhati na wenye imani. Ukiwa na sifa hizi hata mwanaume utadondosha tu machozi, embu tuangalie zile movie za wafilipino jamani siku moja moja sio mbaya akina baba, sio mpira tu unaishia kupigana timu yako ikifungwa, angalia tamthilia kama zile unamuona mwanaume anadondosha chozi kwa mpenzi wake kutokana na mapenzi ya dhati aliyoyajenga moyoni, tatizo wanaume wakibongo mapenzi kwetu ni mselebende tu, umeanzisha mahusiano leo, kesho umeomba mchezo, huh....? mapenzi sio ngono jamani ni sehemu tu ya mapenzi, ila penzi la dhati ni kujali na hubba ya kweli, halafu hata hiyo sex yenyewe hatujui, ukimchukua mdada unakimbilia kushindilia, mtoto wa watu anapiga kelele anaumia we unasema unampa raha unazidi kushindilia utafkiri kinu unatwanga buni, mapenzi ni romance, mpe mpenzi wako penzi la dhati akikukosa dakika mbili anakuwaza, ukiingia nae chumbani chukua masaa kumpeti peti, viumbe hawa hisia zao zipo mbali, lazima uzisogeze, haya ukiachwa walalamika na posti kubwa unaiandika jf eeh, embu tuwe na imani akina wakaka. Ndo maana hata wale wadini akianza kusali hata kama ni mwanaume utaona anaanza kulia maana kamkaribisha Mungu wake moyoni, sasa sio Mungu tu wajameni, hata watoto zetu tuwapende kutoka moyoni, wake zetu pia, sio mtoto anakusalimia baba shkamoo unamtolea macho makali mtoto hadi akikuona anakukwepa, kisa una stress zako za kazini. Tuwe na mapenzi ya dhati utaona kulia muhimu, chozi ni tulizo la moyo. Nawakilisha