Macho yote mawili kucheza ni ishara ya jambo gani?

Kama ni jicho la kulia ni jambo jema laweza kutokea

Ila Mara nyingi jicho hucheza ukiwa na hofu , wasiwasi hali mtanziko wa mawazo n.k
 
N

Ni kweli kabisa jicho la kulia ni jambo jema litatokea lakin kama ni jicho la kushoto upande wa juu ni majanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom