Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
Hizo media za kimataifa zimejibiwa na wananchi kwa urahisi sana. Kama wana akili wameelewa. Sisi tuendelee kuomboleza tuMagu anapendwa sana. Kuna tatizo moja kubwa sana la propaganda chafu ambazo zjnaendeshwa na kambi pinzani hasa kupitia mitandao ya kijamii. Lakini uhalisia kwa wananchi ni tofauti kabisa.
Tangu amefariki kambi pinzani wamefanya hate campaign kwa kasi kubwa zaidi. Na hata kudanganya dunia kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi mkuu. Angalia mtu kama Fatma Karume anachukua picha ya msafara sehemu ambayo hakuna makazi ya watu na kuzirusha eti watu wachache! na kuficha sehemu kubwa ambako kuna umati wa watu!
Yaani wanachuki iliyopitiliza na isiyo na sababu, kisha eti wanasema eti marehemu ndiyo alikuwa na chuki
👏👏👏👏 Amen KubwaBaada ya uchaguzi CDM walivyoitisha maandamano, rafiki yangu aliniambia hawa wanawajua waTz vizuri hawa? kama wanataka watu waandamane basi machinga wazuiwe au waondolewe kwenye maeneo wanakofanyia biashara hapo ndipo watu wataandamana, hivi hivi waTz wanatafuta mlo tu mambo yaliyo mengi hawaelewi yanawasaidiaje wao, hapo ndio wanasiasa wa chama dola wanapojizolea mashabiki zao.
Anyways to me, magufuli alikuwa na nia nzuri sana na nchi, his approach kuyafikia hayo mazuri ndio ilikuwa changamoto, plus ana issues in person ndio ikafanya things kuwa worse. hata hivyo amefanya pakubwa, apumzike kwa amani.
Wangemleta KimaraJamaa alikuwa anapendwa tuwe wakweli Tu kama watu wanapita mpka kwenye njia zisizo halali pale taifa ili kumuaga Tu Mheshimiwa basi wanaosema alikuwa anachukiwa Wana lao Jambo japo ninkweli huwezi pendwa na kila mtu
True lugha ya pichaHizo media za kimataifa zimejibiwa na wananchi kwa urahisi sana. Kama wana akili wameelewa. Sisi tuendelee kuomboleza tu
Twitter wanajifanya hawaoni nyomi la DarNiseme tu pia kuwa sipendelei mwili wake kuzungushwa zungushwa sehemu tofauti nchini, lakini naelewa.
Ila, if Dar is anything to go by, this guy was loved!
Leo mabodaboda wameongoza msafara wake kwenda uwanja wa Uhuru, tena kwa amani kabisa.
Wala hawakubugudhiwa na Askari.
wachache wameguswa ila wengi ni ma snitch hata humu wamo hata wewe unaweza ukawa mmoja waoKwa JPM ni Unafiki ila kwa Lisu ni “upendo wa watu” akili za Ufipa.
Kirusi cha corona kinashangilia mlo wa bureMimi nilijua watu watakua wengi Ila sikujua mama watakua hivi.
Angalia hii video watu walivyo wengi, nimeshangazwa.
Nyani Ngabu
View attachment 1731019
Huu si uchaguzi.
Na Ili iwe dhambi kunapaswa mtu afanye mambo yepi?Ayubu 24:19-20.
“Ukame na joto vinayameza maji ya theluji na hivyo hivyo kaburi kwa wanaotenda dhambi”.
“Tumbo lililomzaa litamsahau; minyoo wa ardhini watamla kwa furaha; hatakumbukwa tena; na uovu utavunjwa kama kijiti.”
Hii ni kwa kila mmoja wetu sisi wadhambi mara mauti inapotukuta bila kujali ukuu wa mtu au wangapi waliomboleza.
No offence meant, no sides taken.
Pole sana, huna habari we will still rule this nation?Wasukuma mtalia sana safari hii
Nilishangaa sio CNN, BBC, AFP, REUTERS, DW, XINHUA Wote wanaripoti kifo chake wakati hajawahi kwenda Ulaya ,walikuwa wanamfuatilia Sana.Kifo cha Magufuli kilikuwa habari ya dunia.
Kwa mtu aliyekuwa hasafiri sana nje ya nchi, sikujua kama watu wa mataifa mengine walikuwa wanamfuatilia kiasi hicho.
Kifo chake kilikuwa headline news kwenye vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa!
Lissu alimdhihaki Nyerere, lakini kwa vile alijuwa anapendwa wakati wa kampeni alienda mpaka nyumbani kwake na familia yake ikampokea kwa moyo mkunjufu.