Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Kitu nilijifunza,mnadani wengine wanauza bila dalali,uzuri wa biashara ya ng'ombe hutafuti mteja,Bali mteja ndo anatafuta ng'ombe atakamridhisha,so ni suala la kwenda unasimama na ng'ombe wako mnadani,wateja wanakuja kuuliza na mnaanza ku negotiate,
Sasa Kama unaona usumbufu kusimama juani mda mrefu na hauna utaalamu wa kucontrol ng'0mbe au simply hutaki usumbufu ndo unakabidhi dalali akuuzie,wewe umekaa kwa mbali au vibandani unapata moja baridi moja moto
Doh! Sitakaa kukwepa jua aisee.....maana dalali akipga cha juu kama 20 ni kikubwa sana!hivi kuwa na bucha na kuuza hivyo mnadai kipi kinafaida zaidi