Macho yako yanaona kama mimi? Mimi naona kama DSM fursa za kupiga pesa ni nje nje

Kitu nilijifunza,mnadani wengine wanauza bila dalali,uzuri wa biashara ya ng'ombe hutafuti mteja,Bali mteja ndo anatafuta ng'ombe atakamridhisha,so ni suala la kwenda unasimama na ng'ombe wako mnadani,wateja wanakuja kuuliza na mnaanza ku negotiate,
Sasa Kama unaona usumbufu kusimama juani mda mrefu na hauna utaalamu wa kucontrol ng'0mbe au simply hutaki usumbufu ndo unakabidhi dalali akuuzie,wewe umekaa kwa mbali au vibandani unapata moja baridi moja moto

Doh! Sitakaa kukwepa jua aisee.....maana dalali akipga cha juu kama 20 ni kikubwa sana!hivi kuwa na bucha na kuuza hivyo mnadai kipi kinafaida zaidi
 
mvuv

Mkuu naomba fanya risechi ya kutosha ,,umeandika mchele dar ni 2700 hyo bei ipo dar maeneo gan?* nmetembea masoko ya ilala,tandika,tandale nmekutana na mchele mpaka wa 1500
Mm nanunua mchele max 2200..,hiyo 2700 labda wale mafisadi
 
Wakuu nipo Dar na kwa kweli nimeshuhudia mengi ambayo kiukweli ni fursa kubwa ya kupata pesa.
Kwa mfano nimeshuhudia Dar viazi mviringo vitatu tu tena vya ukubwa wa kawaida kabisa vikiuzwa kwa shiling 500.

Sado moja la viazi mviringo likiuzwa hadi shilingo 4000. Hapa mtu ukiwa Mbeya ambapo gunia la viazi lenye debe 6 mpaka nane unaweza ukalinunua kwa shiling elfu 40-50 . Ushuru ni 500 kwa kila gunia na usafiri ni kati ya 7,000 -10,000 kwa gunia mpaka Dar.

Kama unachukua gunia 20 ina maana utagharamia 1,200,000 maximum mpaka mzingo unaingia sokoni. tufanye umeamua kujumlisha kwa elfu 75-85 kwa gunia maana yake unakusanya 1,5000,000 Mpaka 1,850,000 kwa mzigo wote. Hapo hukosi faida ya 300,000.

Kuna fursa nyingine ya mchele kutoka Mbeya ambapo mchele super kabisa nimeona ukiuzwa kwa kilo shilingi 2,700 wakati Mbeya mchele grade hiyo hiyo ni 32,000 -34,000 kwa kilo 20. Sasa tufanye unachukua mfuko wa kilo 100 kwa shiling 160,000 - 170,000.

Unachukua tani 1 tu za mchele ambapo ni kwa gharama ya 1,600,000 mpaka 1,700,000
Nauli kwa mfuko wa kilo 100 ni 7,000 mpaka Dar jumla unalipia elfu 70 tani moja. ushuru tufanye elfu 10 tani moja au elfu 20 pamoja na kupakia elfu 10 pia na kushusha 10. jumla.

Ukifika Dar utajumlisha kilo 20 kwa elfu 42 mpaka 44. kwa mfuko wote unapata 210,000 mpaka 220,000 una viroba kumi maana yake unapata 2,200,000 au 2,100,000. Ukitoa gharama zote unapata faida angalau 350,000 mpaka 400,000
Mwenye uzoefu na biashara hizi anisahihishe.
..Hesabu zako zimekaa vyema kabisa Mkuu.
Kwenye Karatasi ama kwenye Ukurasa wa JF.
Sasa jaribu kwa hali halisi ukumbane na changamoto na risk mbali mbali ambazo naona hujaziwekea japo Kafungu ka dharura hapo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho yake naibukia mnadani mapema,mida ya saa nne,ng'ombe wangu kishafika,,Sasa naona nijaribu kumuuza mwenyewe sihitaji dalali,
Kukukuruka huku na huku mi bado mgeni na ng'ombe sijawasoma naona wote Kama wanafanana tu,Ina maana ukizubaa ng'0mbe akajichanganya naweza poteza,isiwe tabu,namkabidhi dalali auze kwa 280,000,halafu nasimama kwa mbali nikifuatilia,kila nikimuuliza vipi umeuza,anasema jamaa wanadai niuze 230,000,
Wakati nimemnunua 250,000,
Baadae namfuata mteja mmoja aliekuwa akiongea na dalali na kumuuliza,kwani huyo ng'ombe dalali kakuambia Bei gani,anadai dalali kamwambia 300,000,
Namwuulizia una ngapi?,
Anadai Ana 270,000.
Naenda kumnyang'anya ng'ombe dalali baada ya kuchukua 270,000,
Dalali kafume but at least nimeuza kea faida ndogo na nimeshajua mchongo wote
Kweli mjini shulee...madalali wanaishi kupitia migongo ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doh! Sitakaa kukwepa jua aisee.....maana dalali akipga cha juu kama 20 ni kikubwa sana!hivi kuwa na bucha na kuuza hivyo mnadai kipi kinafaida zaidi
Bucha labda uchinje machinjioni uuze jumla,bucha sikuhiz wanalaza nyama,vijiwe vingi vya mishikaki,nyama choma vimefungwa,hata majiko mengi ya bars hayaoperate.
Kuuza ng'ombe Kama una mtaji inalipa na mzigo hauozi,unaingiza mfano mnadani ng'ombe watano,unauza watatu hao wengine unahamanao mnada wa kesho yake unauza profit inategemea ukubwa wa ng'ombe margin 20,000-50,000 minimum
 
Ni faida nzuri...kila la heri..kweli bucha nyingi zinasuasua
 
Wakuu nipo Dar na kwa kweli nimeshuhudia mengi ambayo kiukweli ni fursa kubwa ya kupata pesa.
Kwa mfano nimeshuhudia Dar viazi mviringo vitatu tu tena vya ukubwa wa kawaida kabisa vikiuzwa kwa shiling 500.

Sado moja la viazi mviringo likiuzwa hadi shilingo 4000. Hapa mtu ukiwa Mbeya ambapo gunia la viazi lenye debe 6 mpaka nane unaweza ukalinunua kwa shiling elfu 40-50 . Ushuru ni 500 kwa kila gunia na usafiri ni kati ya 7,000 -10,000 kwa gunia mpaka Dar.

Kama unachukua gunia 20 ina maana utagharamia 1,200,000 maximum mpaka mzingo unaingia sokoni. tufanye umeamua kujumlisha kwa elfu 75-85 kwa gunia maana yake unakusanya 1,5000,000 Mpaka 1,850,000 kwa mzigo wote. Hapo hukosi faida ya 300,000.

Kuna fursa nyingine ya mchele kutoka Mbeya ambapo mchele super kabisa nimeona ukiuzwa kwa kilo shilingi 2,700 wakati Mbeya mchele grade hiyo hiyo ni 32,000 -34,000 kwa kilo 20. Sasa tufanye unachukua mfuko wa kilo 100 kwa shiling 160,000 - 170,000.

Unachukua tani 1 tu za mchele ambapo ni kwa gharama ya 1,600,000 mpaka 1,700,000
Nauli kwa mfuko wa kilo 100 ni 7,000 mpaka Dar jumla unalipia elfu 70 tani moja. ushuru tufanye elfu 10 tani moja au elfu 20 pamoja na kupakia elfu 10 pia na kushusha 10. jumla.

Ukifika Dar utajumlisha kilo 20 kwa elfu 42 mpaka 44. kwa mfuko wote unapata 210,000 mpaka 220,000 una viroba kumi maana yake unapata 2,200,000 au 2,100,000. Ukitoa gharama zote unapata faida angalau 350,000 mpaka 400,000
Mwenye uzoefu na biashara hizi anisahihishe.
HAHAHAH NOT SUCH EASY MR.

Dah nimesomaaaa nimeishia kitikisa kichwa. Kufilisika kwangu kwa mara ya kwanza kabisa sh 4mil kulitokana na hesabu za sampluli hii
 
Bucha labda uchinje machinjioni uuze jumla,bucha sikuhiz wanalaza nyama,vijiwe vingi vya mishikaki,nyama choma vimefungwa,hata majiko mengi ya bars hayaoperate.
Kuuza ng'ombe Kama una mtaji inalipa na mzigo hauozi,unaingiza mfano mnadani ng'ombe watano,unauza watatu hao wengine unahamanao mnada wa kesho yake unauza profit inategemea ukubwa wa ng'ombe margin 20,000-50,000 minimum

20,000-50,000 profit/cow?

Daah No longer at ease.
 
Ina maana mzigo huo viazi havitaharibika hata kidogo wala wapakiaji na washushaji wa mizigo hawatakudai chochote wala hutakutana na madalali wala hutalipia... nk

Usijidanganye...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom