o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 348
- 286
Gharama za usafiri mbeya tu Dsm, mpaka mzigo unapofika kwenye frame? Gharama za kukodishwa frame?
Ni Great idea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za usafiri mbeya tu Dsm, mpaka mzigo unapofika kwenye frame? Gharama za kukodishwa frame?
Ni Great idea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah hii inaleta ugumu sana kwa watu kuingia ktk hizi misheItakula kwako mm ninaye ndg aliyefilisika kwa biashara hzo za mazao zamani k/koo shimoni ilipoitwa k/koo,watu walipiga pesa chafu wakatajirika ila wale waliojipanga kila idara ,kama ujajipanga usiingie kwnye biashara za mazao uchawi mwingi sana watu wanapiga kafala kubwa kubwa.
Hao wanao comment ndio wenye uzoefu baba usiongee kinadhalia,kwenye nyeusi tuseme nyeusi na nyeupe tuseme nyeupe hakuna kupepesa mambo,mfumo unamnufaisha dalali kuliko mkulima na mfanya biashara wa kati.Jamaa kaleta fursa, watu wameleta kejeli tena 90% walioleta kejeli ndo wale wanaonzishaga thread za "NINA (KIASI FLAN) NIFANYE BIASHARA GANI?"
😂 😂 😂 😂 kilimo cha madaftari ichoRahisi eee
Changamoto ndio hzo na uchawi nao upo tena sana tu,wee ulitaka tumperembe perembe mleta uzi.Wakati tunasoma biashara vyuoni maprofessa walitufundisha tu biashara ila ukija field ndio unagudua kwamba hata professor wako aliyekufundisha biashara hakuwa mfanya biashara so kuna mengi hakukufundisha.Wajuaji walishindwa ku concentrate na uzi,wakaaza kum dhihaki mtoa mada, mbona biashara hii kuna watu wanafanya!!.Ilitakiwa watu wafikirie challenges za hii business na namna ya ku tackle.Sasa mtu anakuja kuongelea vitu kama "uchawi",unajuaje labda na yeye anaamini katika "kujidhatiti".Issue ilikuwa ni kumpa changamoto za usambazaji/uuzaji na logistics nyinginezo
Mkoani fursa zipo ila hela sio nyingi kama Dar!Sasa ulitaka nizungumzie wanawake wenye makalio makubwa?? Hata mtu wa Dar akienda mkoani ataziona fursa na kubaki kinywa waz
🤣🤣🤣🤣🤣 Usiombe ile moment umefika sokoni huna moja wala mbili za hio biashara kmmmae. Movie inaanza kila gunia linatakiwa lilipiwe 600 ya ushuru, kulaza gunia dagoni ni 200 kwa siku.Kuna Jamaa Yangu Mmoja Baada Ya Kuhitimu Chuo Alikuwa Na Mihemko Sana Kama Hii.
Akatumia Akiba Yake kwenda Morogoro, Akanunua Mbuzi Wa Kutosha Akakodi Gari Na Kuwaleta Mpaka Dar, Pugu Mnadani.
Alipofika Tu Kumbe Madalali Wanamsoma, Yeye Anajua Ni Kuuza Tu Mzigo Na Kusepa.
Madalali Walivyojua Kama Asipowauza Mbuzi Siku Hiyo Hana Sehemu "zizi" La Kwenda Kuwaweka Pending, Wakamsikilizia, Ilipofika Jioni Wakawa Wanamtajia Bei Wanayotaka Wao.
Aliwauza Kwa Bei Ya Hasara, Hana Hamu Tena !
Kuna Jamaa Yangu Mmoja Baada Ya Kuhitimu Chuo Alikuwa Na Mihemko Sana Kama Hii.
Akatumia Akiba Yake kwenda Morogoro, Akanunua Mbuzi Wa Kutosha Akakodi Gari Na Kuwaleta Mpaka Dar, Pugu Mnadani.
Alipofika Tu Kumbe Madalali Wanamsoma, Yeye Anajua Ni Kuuza Tu Mzigo Na Kusepa.
Madalali Walivyojua Kama Asipowauza Mbuzi Siku Hiyo Hana Sehemu "zizi" La Kwenda Kuwaweka Pending, Wakamsikilizia, Ilipofika Jioni Wakawa Wanamtajia Bei Wanayotaka Wao.
Aliwauza Kwa Bei Ya Hasara, Hana Hamu Tena !
kuna jamaa wanaitwa madalali...Wakuu tusome mada mpaka mwisho. hakuna kisicho na changamoto ndio maana nimesema mwenye uzoefu anisahihishe.
Mtu mwenye mihemko ya kichuo hawezi kuwa na akili hiyo Mkuu.Mkuu Mkaruka
Jamaa yako ilitakiwa atumie mbinu za kijasusi, angeenda Moro akanunua mbuzi wanne then akaenda nao pugu (hao mbuzi ni sample ya kupata detail jinsi biashara inavyofanyika) then akajifanya anawauza (hapo ni Aidha apate faida au loss), angeusoma vizuri mchezo kama ni mjanja angepata na connection kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
hukutaka mzigo wako kutuachia sisi madalali🤣🤣🤣🤣🤣 Usiombe ile moment umefika sokoni huna moja wala mbili za hio biashara kmmmae. Movie inaanza kila gunia linatakiwa lilipiwe 600 ya ushuru, kulaza gunia dagoni ni 200 kwa siku.
Nakumbuka niliagiza mzigo wa kitungu u toka Arusha. Niliemtuma hakukagua akavalishwa vitunguu gunia 6 chenga tupu. Mzigo ukawa unanitesa kwanza ulfungwa kwenye viroba ikabidi kuufaulisha kwenye magunia. Hapo sijaingiza hata 100 mzigo mara ukaanza kuota ndani ya gunia joto la dar. Aisee nilijuta.
Nilishuhudia laki 8 yangu inapukutika kama maji pale sterio! Stress niliokuwa nayo ilinibidi niwe nadamka saa 10 kwenda kumwaga mzigo mezani aisee nipambanie kuuza kitunguu kelele mingi kama konda. Bahati nilikuwa na Aunt yangu pale sokoni akawa ananipa emotional support. Nilichofanikiwa kuokoa ni 110,000 na gunia moja na nusu. Kilichotokea na hio hela nayo ilipotea.
hapo ndo akajifunza nn maana ya subira ..papara mbaya SanaKuna Jamaa Yangu Mmoja Baada Ya Kuhitimu Chuo Alikuwa Na Mihemko Sana Kama Hii.
Akatumia Akiba Yake kwenda Morogoro, Akanunua Mbuzi Wa Kutosha Akakodi Gari Na Kuwaleta Mpaka Dar, Pugu Mnadani.
Alipofika Tu Kumbe Madalali Wanamsoma, Yeye Anajua Ni Kuuza Tu Mzigo Na Kusepa.
Madalali Walivyojua Kama Asipowauza Mbuzi Siku Hiyo Hana Sehemu "zizi" La Kwenda Kuwaweka Pending, Wakamsikilizia, Ilipofika Jioni Wakawa Wanamtajia Bei Wanayotaka Wao.
Aliwauza Kwa Bei Ya Hasara, Hana Hamu Tena !
dalali yuko kimaslahihukutaka mzigo wako kutuachia sisi madalali
Division of labour mkuu.dalali yuko kimaslahi