Macho ya Wanaume

Ujue tunatamanigi kuwaangalia sema nyie mnakua mko fasta sana kwenye kutembea, alafu mnakutaga mko na wanaowamiliki, kiukweli nundu nyingi unakutaga ziko zenyewe alafu ziko slow sana.[emoji40]

Hahaaa. Hivyo tupunguze haraka ili muwe mnatutizama na sie. Ila hamjui mkuu hizo unazosema ziko slow zinakuwa slow ili kuwahadaa tu.
 
Mimi mama Wegesa hanikamati ki-zembe hivyo aisee! Macho yangu huwa nageuza ki-shushushu ile mbaya. Ukinishtukia nakupa zawadi. That's how the big baba does!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…