Hayo matangazo ya kuwekwa kwenye miti bora yapigwe ban, yabaki ya mtindo wa hewani kama Jaza UjazweHivyo mtu akiwa peke yake kuosha macho ruksa. Ila kuna wengine hata hawawi peke yao ila lazima wageuke wasome matangazo. Lol
Hahaaa. Hamjui tu amani tunayoikosa mioyoni mwetu.Hii lazima aseeh... hakuna kuacha
Aisee. Kaka masai saa nyingine sinaga jinsi tena ikibidi kama hujageuka naweza kwambia geuka kule uone lol.
Unadhani tutafanyaje sasa wakati nyie ndio ishakuwa tabia yenu tena.
Naomba nikusahihishe kdgo.Hahaa. Ndio ipo tena unadhani wafanyeje na haifichiki.
Hatushafishag macho tukaishia hapo, macho yetu n kama X ray yanaona mpk ndan, inafanywa tathim fupi nifuate au niache?? jibu likipatikana linafanyiwa kaziAisee kaka masai sikuwezi. Yaani hivyo ukisafisha macho moyo wako unakuwa burudani kabisa.
Ila vibaya hivyo mjue.
Hahaaa. Nimecheka aisee. Muwe mnaangalia basi hadi wale wenzangu na mie kwa kuwawazia shida watakayoipata huko waendako kwa wembamba wao. Teh teh.Usiogope bhana ukiona tunaangalia sana unakuta tunajiuliza "hivi njia ya kwenda Mbinguni si nyembamba sasa yeye na hili zigo lote atapitaje?" Tunaishia kutikisa kichwa na kuendelea na safari
Sasa mkuu unadhani yanaishaga hayo maua basi.Uliwah ona nyuki anatua kwenye ua moja kila siku?
Aisee. Kaka masai saa nyingine sinaga jinsi tena ikibidi kama hujageuka naweza kwambia geuka kule uone lol.
Unadhani tutafanyaje sasa wakati nyie ndio ishakuwa tabia yenu tena.
Mkuu kumbe stress zinamalizwa kwa kugeuza shingo. Hongereni basi.Hamna tukiangalia vile mioyo inasuuzika stress za maisha zinapungua kidogo
Hivi mdogo wangu unaamini anayaona kweli yale maandishi.Hayo matangazo ya kuwekwa kwenye miti bara yapigwe ban, yabaki ya mtindo wa hewani kama Jaza Ujazwe
Usiogope bhana ukiona tunaangalia sana unakuta tunajiuliza "hivi njia ya kwenda Mbinguni si nyembamba sasa yeye na hili zigo lote atapitaje?" Tunaishia kutikisa kichwa na kuendelea na safari
Mie sina hiyo kitu mkuu niko kama mti ujue.Naomba nikusahihishe kdgo.
Rudia kusema unadhani tufanyeje na haifichiki ulivyosema sivyo.
Eti unajitoa
msambwanda unavutia ivi unajua inafikaga wakati tunaanza kutamba kwa kumiliki mtu mwenye kichuguu?
Hahaa. Hamuogopi hata kupewa za uso.Hatushafishag macho tukaishia hapo, macho yetu n kama X ray yanaona mpk ndan, inafanywa tathim fupi nifuate au niache?? jibu likipatikana linafanyiwa kazi
Huu ulimwengu msingekuwepo wanawake ungekuta tumeshawehuka kitamboMkuu kumbe stress zinamalizwa kwa kugeuza shingo. Hongereni basi.
Haiwezi kuwa sikuizi viumbe wasio na chura adimu sanaMie sina hiyo kitu mkuu niko kama mti ujue.
Matangazo yenu ndo chanzo cha shingo fenNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Hahaaa. Nimecheka aisee. Muwe mnaangalia basi hadi wale wenzangu na mie kwa kuwawazia shida watakayoipata huko waendako kwa wembamba wao. Teh teh.
Hamjui tu thamani yenu kwetu mnatufarijigi sana wakati mwingine bila hata kujuaMkuu kumbe stress zinamalizwa kwa kugeuza shingo. Hongereni basi.