babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Tatzo wadada wanakusud,unakuta MTU ana bonge la mkia AF anavaa hovyo ASA ile kugeuka ni unconditional rxn jamanNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Huna chura ww..waangalie nini sasaNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Itoe hiyo avatar mwenye nayo karudiHuna chura ww..waangalie nini sasa
Mmh. Inabidi nijifunze kuamini hivyo mkuuHua tunaangalia tu haimaanishi kua hua huna thaman mbele ya nimuangaliaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama mkuu kwani ni lazima kugeuka.Tatzo wadada wanakusud,unakuta MTU ana bonge la mkia AF anavaa hovyo ASA ile kugeuka ni unconditional rxn jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni lazima mkuu.Huna chura ww..waangalie nini sasa
Kapige mswaki ndio uongeeItoe hiyo avatar mwenye nayo karudi
Yaani ukishasema Mizigo tu hapo hapo pigia mstari,Hata mm nilikuwa natembe a na Zigo sasa Barabarani kila M2 lazima ageuke Japo nilikuwa mwanaume Wake lkn nilikuwa najikaza 2.Sie tunaumia roho lakini ujue pacha.
Saa nyingine hadi hamu ya kufuatana na nyie inapotea mana kila mnapopishana na mizigo lazima shingo igeuke.
Kuna situations nyingine usipopiga shingo feni kujiridhisha na kuappreciate ulichokiona hata "mungu" mwenyewe atakushangaa sana..Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Na ww nawe unawivu macho hayana pazia na ninyi ndio mapambo ya duniaHahaaa. Tatizo mkuu hamridhiki kila mnachokiona mnakitamani.
Na nyie kuna watu wanawageukia ujuwe..!! na sisi twavumiliaga tuSie tunaumia roho lakini ujue pacha.
Saa nyingine hadi hamu ya kufuatana na nyie inapotea mana kila mnapopishana na mizigo lazima shingo igeuke.