Hatuvunji shingo bibie, hapo tunamshukuru Mungu kwa kila jambo, muda mwingine feni ikirudi normal unajikuta hadi mada mliyokua mnajadili ushaisahau[emoji2] unaishia kushukuru kwa kupata suuzo la macho.
That's what we really do, guy!
Kazi mnayo aiseehuyu unamsaidiaje?
Ila mkuu kuna mizigo mingine hata iwekwe kwenye gunia lazima ifurukute na jinsi xray zilivyo vizuri zinafunya kuzoom tu[emoji40] kuna watu Allah kawajalia bhana.Labda mvae mahijab mjifunike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana aiseeIla mkuu kuna mizigo mingine hata iwekwe kwenye gunia lazima ifurukute na jinsi xray zilivyo vizuri zinafunya kuzoom tu[emoji40] kuna watu Allah kawajalia bhana.
Inaonekana mkuu wewe ni mgeuza shingo mzuri sana. DaahIla mkuu kuna mizigo mingine hata iwekwe kwenye gunia lazima ifurukute na jinsi xray zilivyo vizuri zinafunya kuzoom tu[emoji40] kuna watu Allah kawajalia bhana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana aisee
Hahaha hiyo ni kawaida kwa kichwa cha juu kupoteza kumbukumbu kwa muda mfupi pale kiungo flani kinapopata burudiko lililotimia.[emoji12] refer unapokua excited kwenye ile shughuli yenu ya 6*6 hivi kichwa cha juu kinakuaga na kumbukumbu yeyote kweli[emoji85] [emoji40] [emoji125]Hahaaa. Mpaka mnasahau mlichokuwa mnajadili ila bado tu mnaita suuzo la macho. Mmh.
Haya bana.
Yaani wanaume sijui tuwaweke fungu gani mana. Mi ningemvuta na wala asingeendelea kuangalia.hii ni vita
Usinichekeshe aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani wanaume sijui tuwaweke fungu gani mana. Mi ningemvuta na wala asingeendelea kuangalia.
Tatizo nguo mnazovaa wadada waskuizi zinatutia majaribuni.Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Hii sasa ndio dawa. [emoji2] [emoji2]huyu ameona hapana ziba macho kwanza huu upepo upite
[emoji23] [emoji23] [emoji23]msifikiri ni kazi ndogo upite tu bila hata kuangalia kidogo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hii sasa ndio dawa. [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa kiasi kikubwa wanawake ndo waonasababisha wanaume tuvunje shingo kwa mavazi wanayovaa kwa sasa. Kuna mdada mmoja kidogo anisababishie kilema ilibaki kidogo nitumbikie kwene mtaro kwa kuangalia chuguu lake lilivyokuwa latikisika. Hahaaa