Macho ya Wanaume

Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.

Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
tuvumilie tu pacha. huwa baada ya kuona facial expression tunamalizia kwa kuangalia kama mzigo upo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.

Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Tatzo una hips tuta mdanga umejaa sana chura ya kimataifa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…