Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
tuvumilie tu pacha. huwa baada ya kuona facial expression tunamalizia kwa kuangalia kama mzigo upo!?Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Sie tunaumia roho lakini ujue pacha.tuvumilie tu pacha. huwa baada ya kuona facial expression tunamalizia kwa kuangalia kama mzigo upo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maua hayoNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Kwani uliefuatana nae sio ua hadi ugeukie ua la mwenzio?Maua hayo
Tatzo una hips tuta mdanga umejaa sana chura ya kimataifaNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Lkn jamaa hajafuatana na mtu yupo peke yake akaamua aoshe machoKwani uliefuatana nae sio ua hadi ugeukie ua la mwenzio?
Hahaaa. Tatizo mkuu hamridhiki kila mnachokiona mnakitamani.Tatzo una hips tuta mdanga umejaa sana chura ya kimataifa
Hivyo mtu akiwa peke yake kuosha macho ruksa. Ila kuna wengine hata hawawi peke yao ila lazima wageuke wasome matangazo. LolLkn jamaa hajafuatana na mtu yupo peke yake akaamua aoshe macho
Hata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikaoNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Tunavitamani sababu vinatamanisha alfu chura zipo tofauti kila moja inamvuto wake ya wema na ya Gigy hazifanani ndyo maana huwa tunatamani kila chura ipitayo.Hahaaa. Tatizo hamridhiki kila mnachokiona mnakitamani.
Lakini tunaangalia tunakula kwa macho tu hakuna ubaya wowote mnaogopa bure tuHivyo mtu akiwa peke yake kuosha macho ruksa. Ila kuna wengine hata hawawi peke yao ila lazima wageuke wasome matangazo. Lol