Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

Simpson huwa zipo Tz pia?
Jerry eeh, Sasa u ask as if mi ndio wakala.

Wewe pita mjini uliza. Mimi nimenunua Samsung nimeona inanifaa. Brand zingine sijui upatikanaji wake. Mlimani City na Mjini KKoo kwa Authorised Distributor utauziwa with gurantee & waranty.
 
Mkuu kwani humu hua tunatambulishana? Unaeza kuta wewe una store yako kubwa kama Woolies[emoji3]

Ok, cheers mate
 
Za manual mara nyingi ni zile zinakama tub mbili ya kufulia (Huwa inaenda mwendo wa to and fro motion yan foward and backwards) na tub ya pembeni ni ya kukamulia nguo maji.....

Hizi mara nyingi ni nzuri sana kwa wale ambao hawana uhakika sana wa maji (mabomba yanayotoa maji 24/7). Hii mashine ukitaka kufua kwenye tub ya kufulia nguo ww unajaza nguo zako tu humo appropriately...then una feed maji manually hata na ndoo (inasehem ya kuunga bomba pia)....then ukishaweka maji yako mpaka level flan unatia na sabuni ya unga (Nunua kiroba cha sabuni ya unga weka ndani).

Then unawasha after setting the time (Usually 15 minutes then unakuja washa tena 15 minutes zingine).....ukimaliza una drain away the dirty waters, una rinse humo humo (same process) then zile nguo unahamishia tub ya pili zinakamuliwa maji then unaanika.

Hizi automatic ww unaweka nguo na sabuni kwenye box yake....bomba za maji ziko directly connected, zinakuwa adjusted automatically....wewe unaset mambo unaondoka unaenda hata kazini ukirudi kila kitu tayari, wewe unafanya kuzitoa unaweka kwa dryer au unaanika.
Asante kwa maelezo mzuri sana. Nilipita madukani kupata maelezo ya kitalaam zaidi, maji yangu yana chumvi kiasi kwa kuonja huwezi pata taste ya hiyo chumvi ila ukichemsha ndio utagundua yanachumvi. Hivyo nikawa na hofu ya kununua mashine ya kufulia. Nilipoenda ulizia na kuwaambia habari hiyo ndipo nikaambiwa ninunue machine manual nisichukue automatic, nipo mbioni kununua hiyo mashine.
 
Hongera Sana. Kwa hyo ya manual....maji hayo ya chumvi kwa jinsi unavyonieleza sio issue sana. Cz pale kikubwa in that manual machine ni wash and rinse basi.
 
Huu ni uwanja wangu mzee iko hivi.

Kwa maisha yetu halisi ya kitanzania pamoja na hali ya hewa, Semi Auto ni bora kuliko Full Auto kwa sababu zifuatazo.

Mashine ni kwa sababu ya kukurahisishia kazi ngumu kuwa nyepesi, sasa semi auto Wash Timer yake ni nzuri mf unaweza set dk 4 au 2 au 3 kufua, na huu ni muda sahihi sana katika kufua nguo kama jeans na kadeti. Ila kwa mashati sana ni dk 2 au 3 inatosha sana na hii inategemea na sabuni unayoitumia. Pia kuna wale wanaovaa nguo mf shati mathalani mpaka inachora mstari wa uchafu shingoni. Ukifulia Full auto huwez ziangalia mpaka imalize kuspin uzitoe. Ila kwa Semi auto unaweza ziangalia vizur na ukakadiria maji vizur, ila Full auto inaingiza maji inayohisi yenyewe yanatosha then inablock maji.

Brand za kununua zipo nyingi tu kutegemea na pesa yako. Chache tu kuna Venus, Ariston, Samsung, LG, ZEC na kuna brand moja nimeisahau kidogo ila inauzwa na Lg pia.

Swala la umeme kwa mashine inayofua na kukamua tu umeme wake ni mchache mnooo tofauti na inayokausha

Kwa mfano mimi nilinunua mwaka jana duka la Sony Mliman city Venus ya kilo 7 sh laki 3.5, inafua kilo 7 inakamua kilo 5. Ninaifanyia biashara. Sijawah kuifungua itengenezwe. Na inapiga mzigo vizur sana. Ila nitaongeza ya uzito mkubwa kidogo sababu kuna nguo nyingine sifui sababu ya uwezo wake.
Kama nguo gani hufui?
 
Ikiwa nyingi/kali.

Mabomba na some issues within. Ikiwa ni ya kisima but chumvi kwa mbali...sio tatzo kwa hyo ya manual.
mkuu vipi kuhusu washing machine kuharibu nguo? ni kweli kabisa washing machine zinarahisisha sana kazi lakini kwa upande mwingine naona huwa zinaharibu nguo, mfano zinafanya nguo kama mashati yafifie rangi au kulegea kola zake? mimi sina washing machine lakini huwa napeleka nguo zangu kwenye haya maduka ya laundry & dry cleaners, na naona kila unapoipeleka nguo laundry ndio inavyoendelea kupungua uzuri wake kama vile kufifia rangi yake au kaharibika ubora wa kitambaa chake.
 
There is NO such thing.

Nguo zikiwa zinaoshwa kwenye machine....ni zinatakata kwa hali flan ya kujisugua zenyewe na nguo zingine as the machine is in to and fro motion (foward and backwards)....kule kugusana gusana na nguo zingine kwa muda wa 15 or 30 munutes with water in it, is what makes them clean.

Either zinaisha sababu mtu ana mix na nguo za jamii nyingine e.g. jeans wit shirts, trousers wit jeans or curtains....kama nguo zina jamii ya ulaini laini weka na wenzake wa type hiyo hiyo kama ni ngumu weka na ngumu wenzake. Kama mtu analoweka nguo za rangi the whole day.....hafui then kufubaa lazima au labda na hzo nguo ni fake.
 
nakushukuru sana mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri.
 
Vitu vya electronics ndugu usidanganywe kununua nje na eneo ulilopo, kinaweza kusumbua, mfano umenunua Z'bar, utapanda boti ukirudishe? Ni bora ukagharamika huku ukipata security ya maana.

Kuna mtu aliuliza heavy duty inafua nin. Hii inafua nguo zote nzito hasa mablanket, douvets na jeans kubwa nzito kuliko.
Yamenikuta hayo nilinunua Whirlpool mpya from UK muda mrefu sana sikutaka kuifunga nyumba za watu, sasa hivi nimeifunga kwangu haifanyikazi! Inawasha taa ya door lock, ninegoogle nimeona inaweza kuwa na tatizo au uchafu kwenye door lock module sensor WTF! I dont know what to do. Brand new kabisa sema imekaa store over a year.
 
Mkuu ingia youtube andika tatizo lako utapata maelezo.
 
mkuu vipi kuhusu washing machine kuharibu nguo? ni kweli kabisa washing machine zinarahisisha sana kazi lakini kwa upande mwingine naona huwa zinaharibu nguo, mfano zinafanya nguo kama mashati yafifie rangi au kulegea kola zake? mimi sina washing machine lakini huwa napeleka nguo zangu kwenye haya maduka ya laundry & dry cleaners, na naona kila unapoipeleka nguo laundry ndio inavyoendelea kupungua uzuri wake kama vile kufifia rangi yake au kaharibika ubora wa kitambaa chake.
Hakuna kitu ka hiko ndugu. Unadhani ingekuwa hivyo mitumba tungeivaa? Ni swali dogo tu unaweza kujiuliza. Ishu iko hiv, hizi laundry shops nyingi wanafua either kwa mikono, au zinachanganywa nguo nyingi za aina tofauti tofauti halaf detergents wanazotumia zinakuwa ni hafifu. Ishu ya colar kuna kitu tunaita SPORTING, wengine hawajui namna ya kuifanya!
 
There is NO such thing.

Nguo zikiwa zinaoshwa kwenye machine....ni zinatakata kwa hali flan ya kujisugua zenyewe na nguo zingine as the machine is in to and fro motion (foward and backwards)....kule kugusana gusana na nguo zingine kwa muda wa 15 or 30 munutes with water in it, is what makes them clean.

Either zinaisha sababu mtu ana mix na nguo za jamii nyingine e.g. jeans wit shirts, trousers wit jeans or curtains....kama nguo zina jamii ya ulaini laini weka na wenzake wa type hiyo hiyo kama ni ngumu weka na ngumu wenzake. Kama mtu analoweka nguo za rangi the whole day.....hafui then kufubaa lazima au labda na hzo nguo ni fake.
Nikwambie kitu hapo ndugu, nguo kuifua kwenye mashine kwa dakika zaid ya 3 lazima itaharibika tu, wheather ukubali o not, ukweli upo hivyo
 
Back
Top Bottom