Za manual mara nyingi ni zile zinakama tub mbili ya kufulia (Huwa inaenda mwendo wa to and fro motion yan foward and backwards) na tub ya pembeni ni ya kukamulia nguo maji.....
Hizi mara nyingi ni nzuri sana kwa wale ambao hawana uhakika sana wa maji (mabomba yanayotoa maji 24/7). Hii mashine ukitaka kufua kwenye tub ya kufulia nguo ww unajaza nguo zako tu humo appropriately...then una feed maji manually hata na ndoo (inasehem ya kuunga bomba pia)....then ukishaweka maji yako mpaka level flan unatia na sabuni ya unga (Nunua kiroba cha sabuni ya unga weka ndani).
Then unawasha after setting the time (Usually 15 minutes then unakuja washa tena 15 minutes zingine).....ukimaliza una drain away the dirty waters, una rinse humo humo (same process) then zile nguo unahamishia tub ya pili zinakamuliwa maji then unaanika.
Hizi automatic ww unaweka nguo na sabuni kwenye box yake....bomba za maji ziko directly connected, zinakuwa adjusted automatically....wewe unaset mambo unaondoka unaenda hata kazini ukirudi kila kitu tayari, wewe unafanya kuzitoa unaweka kwa dryer au unaanika.