RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,506
- 135,539
Nimefanya hivyo ila solution hapa bongo ni ngumu.Mkuu ingia youtube andika tatizo lako utapata maelezo.
Nimefanya hivyo ila solution hapa bongo ni ngumu.Mkuu ingia youtube andika tatizo lako utapata maelezo.
Haijawahi tokea kwangu. Na nguo zangu zote hakuna iliyofubaa wala kuisha nawekaga sabuni ya unga ya kutosha sana.Nikwambie kitu hapo ndugu, nguo kuifua kwenye mashine kwa dakika zaid ya 3 lazima itaharibika tu, wheather ukubali o not, ukweli upo hivyo
Gharamia mpya tu ni between Tsh 500 K to 1 Million (Town or Mlimani City). Ikiwa na automatic wash, rinse & dry ni poa zaidi. Kufua kunaboa sana basi tu, hata kama una dem/mke ni wanachoka pia (Be Human). Its easier for ur chick to clean ur stuff wit a washing machine.
Note:
Cheap z Expensive.
Gharamia kitu, U enjoy long term.
Ujue mashine za kufua zinazotengenezwa sasa hiv zina cope na uhalisia wa soko zinakopelekwa. Hata hizo manual kuna zipo nyingi tu zisizosumbuliwa na kutu. Ila semi auto nyingi nilizoziona ni za plastiki tupu.Asante kwa maelezo mzuri sana. Nilipita madukani kupata maelezo ya kitalaam zaidi, maji yangu yana chumvi kiasi kwa kuonja huwezi pata taste ya hiyo chumvi ila ukichemsha ndio utagundua yanachumvi. Hivyo nikawa na hofu ya kununua mashine ya kufulia. Nilipoenda ulizia na kuwaambia habari hiyo ndipo nikaambiwa ninunue machine manual nisichukue automatic, nipo mbioni kununua hiyo mashine.
Washing machine + inakamua maji then unaanika (Zinakua almost dry but not dry). Dryer kuna mashine yake nyingine special unanunua...ila kibongo bongo shida yote ya nn wakati jua kali nnje huko.Hii bei ya washing machine tu au na dryer machine?
Samsung wana duka pia Victoria.Samsung ni brand nzuri....simaanishi zingine mbaya. Ila kitu kipya ukchukua kwa Authorised Distributor ni vizuri na ma warranty & gurantee utapewa. Well na mfuko wako pia...kama utamudu chukua hyo ya Samsung.
Duvets na blanketsKama nguo gani hufui?
Heavy duty ni kama matumizi gan na gani?
Washing machine + inakamua maji then unaanika (Zinakua almost dry but not dry). Dryer kuna mashine yake nyingine special unanunua...ila kibongo bongo shida yote ya nn wakati jua kali nnje huko.
Ulaya na States huko watu wanaanika backyard but on winters wanatumia dryers.
Bongo mvua ikiwa inanyesha hata ukianika nguo barazani tu zinakauka.Washing machine + inakamua maji then unaanika (Zinakua almost dry but not dry). Dryer kuna mashine yake nyingine special unanunua...ila kibongo bongo shida yote ya nn wakati jua kali nnje huko.
Ulaya na States huko watu wanaanika backyard but on winters wanatumia dryers.
Ok mkuu nilijua mashuka ya kawaidaDuvets na blankets
We kiazi kweli.Duh! Swali km hili la kijinga seriously, topic ni washing machine then unauliza heavy duty ina kazi gani wkt kwenye previous comments umesaidiwa na uzito wa medium machines unashindwa kuelewa simple sh*t like this? Come on now
nimepata ufahamu mkuu, shukrani.Hakuna kitu ka hiko ndugu. Unadhani ingekuwa hivyo mitumba tungeivaa? Ni swali dogo tu unaweza kujiuliza. Ishu iko hiv, hizi laundry shops nyingi wanafua either kwa mikono, au zinachanganywa nguo nyingi za aina tofauti tofauti halaf detergents wanazotumia zinakuwa ni hafifu. Ishu ya colar kuna kitu tunaita SPORTING, wengine hawajui namna ya kuifanya!
Ya mbao hiyo, inakusaidia kuanika tu. Unafua na kuanika kwa mikono yako.Mmh ...ivi kuna sehemu wanaziuza mitumba au mpaka ununue ...kwa mtu
We kiazi kweli.
What might be heavy duty to u inaweza kua sio heavy kwa mwingine...
Ndo mana nikasema awe specific.....kusema just heavy duty ni too general
Go make ur mom happy..not meKiazi wewe mwenyewe na swali lako la ki.fa.la.
Eti matumizi ya heavy duty ninini, basi kazi ya heavy duty WASHING MACHINE ni kudeki ndani na kukupikia, happy???
dumb dumb dumb!
Ooh. . Asante kwa ufafanuzi kiongozi. Semi auto.. sikujua hilo nitaulizia.Ujue mashine za kufua zinazotengenezwa sasa hiv zina cope na uhalisia wa soko zinakopelekwa. Hata hizo manual kuna zipo nyingi tu zisizosumbuliwa na kutu. Ila semi auto nyingi nilizoziona ni za plastiki tupu.
Karibu nduguOoh. . Asante kwa ufafanuzi kiongozi. Semi auto.. sikujua hilo nitaulizia.
Ni kweli ndugu ila sio wenye laundry ila ni wale waliopewa ajira ya kuzifua. Siku zote ukitaka wateja katika kazi yoyote ile, IHESHIMU, ITHAMINI, IPE MUDA, JITOE KWAYO. Mafanikio hayakupiti ila sasa ujue kuna wengine wanataka pesa halafu nguo za kuwafanya waipate hiyo pesa wanazionea kinyaanimepata ufahamu mkuu, shukrani.
ni dhahiri baadhi ya wenye Laundry hawako makini katika ufuaji wa nguo za wateja na ndio inapelekea kuharibika kwa nguo za watu.
Mashuka mle yanateleza tu wala hayana ngendembweOk mkuu nilijua mashuka ya kawaida