Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

Kwapa limekuwaje ndugu
Kuna watu huwa wanatoa jasho mpaka ukiangalia shati eneo la kwapa inatengeneza rangi ya caki hata kama shat ni jeupe. Sasa aliuliza hizo mashine zinaweza safisha huo uchafu!?
 
We kiazi kweli.
What might be heavy duty to u inaweza kua sio heavy kwa mwingine...
Ndo mana nikasema awe specific.....kusema just heavy duty ni too general
Brother heavy duty ni kwa ma hotel makubwa, appartments et al. Dude la kufua mashuka / mapazia 50 sijui 100 kwa wakati we la nini ?? Huwez tumia washing machine heavy duty nyumbani thats way too big (Nazijua Sana). Hzo nlizokwambia hapo awali zinakufaa kwa matumizi ya nyumbani.

Kwanza umeme wa hzo heavy duty utauweza ?? Let alone gharama za installation na wire zake. [emoji23][emoji23] ( My Ribs)
 
Kuna watu huwa wanatoa jasho mpaka ukiangalia shati eneo la kwapa inatengeneza rangi ya caki hata kama shat ni jeupe. Sasa aliuliza hizo mashine zinaweza safisha huo uchafu!?
Kama huyo mtu ana desturi na silika ya usafi wa kutorudia nguo mara 2 au 3 kwa nguo nyeupe (Ni uchafu na Kinyaa Sana) + kutokua mchumi na sabuni nzuri ya unga. Huo ujinga hatokaa auone kwenye nguo zake.

Vaa shati nyeupe mara moja then fua (Rudia only once kama ulivaa on a Church Sunday for a two hours mass ukarudi home)
 
Kuna watu huwa wanatoa jasho mpaka ukiangalia shati eneo la kwapa inatengeneza rangi ya caki hata kama shat ni jeupe. Sasa aliuliza hizo mashine zinaweza safisha huo uchafu!?
Ikiwa halijawa doa, inatoka. Ila ikishakomaa inabid utumie deterges za kuondoa madoa
 
Back
Top Bottom