Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,074
Okay...ila ungeniambia ina Watts ngapi..ningepata picha halisi....kwa mfano pasi ya umeme kwa kawaida ina Watts 1200 (1200W)Inatumia mota ndogo tu kama ile ya radio ya walkman 😀😀😀
Okay...ila ungeniambia ina Watts ngapi..ningepata picha halisi....kwa mfano pasi ya umeme kwa kawaida ina Watts 1200 (1200W)Inatumia mota ndogo tu kama ile ya radio ya walkman 😀😀😀
I DONT LIKE TO BE ASKED THE SAME QUESTION TWICE! YOU GOT THAT?Okay...ila ungeniambia ina Watts ngapi..ningepata picha halisi....kwa mfano pasi ya umeme kwa kawaida ina Watts 1200 (1200W)
Where did I ask it twice?? What I meant is....clarify yo answer....put it clear..I DONT LIKE TO BE ASKED THE SAME QUESTION TWICE! YOU GOT THAT?
Where did I ask it twice?? What I meant is....clarify yo answer....put it clear..
Yani ujibu kitaalamu
Sasa ukisema eti "inatumia mota ya walkman cjui" ndo umejibu nn apo.
Sema inatumia watts kadhaa imetosha.
Then relax
View attachment 464922Where did I ask it twice?? What I meant is....clarify yo answer....put it clear..
Yani ujibu kitaalamu
Sasa ukisema eti "inatumia mota ya walkman cjui" ndo umejibu nn apo.
Sema inatumia watts kadhaa imetosha.
Then relax
View attachment 464922Where did I ask it twice?? What I meant is....clarify yo answer....put it clear..
Yani ujibu kitaalamu
Sasa ukisema eti "inatumia mota ya walkman cjui" ndo umejibu nn apo.
Sema inatumia watts kadhaa imetosha.
Then relax
Thank You.
Iyo ya 6kg ndo unaeza kufulia nguo ngapi?I DONT LIKE TO BE ASKED THE SAME QUESTION TWICE! YOU GOT THAT?
Samsung ni brand nzuri....simaanishi zingine mbaya. Ila kitu kipya ukchukua kwa Authorised Distributor ni vizuri na ma warranty & gurantee utapewa. Well na mfuko wako pia...kama utamudu chukua hyo ya Samsung.Kwaiyo ni bora ununue brand new ya samsung ndo nzuri?
Kweli...naungana na wewe brand ya samsung nzuri...natumia simu na tv samsung na havijawai kunisumbua.Samsung ni brand nzuri....simaanishi zingine mbaya. Ila kitu kipya ukchukua kwa Authorised Distributor ni vizuri na ma warranty & gurantee utapewa. Well na mfuko wako pia...kama utamudu chukua hyo ya Samsung.
Kweli...naungana na wewe brand ya samsung nzuri...natumia simu na tv samsung na havijawai kunisumbua.
Vp ya samsung nzuri ni ipi? Na yenye Kg ngapi?
Mi mgeni kidogo
Heavy duty ama kwa matumizi ya binafsi tuu?Wakuu naomba kujua bei ya kiwango cha chini ya machine ya kufulia.nguo ......ninauhitaji nayo wakuu. .....
Msaada wenu PLZ
Hapo nimekupata. Kweli kama ulivosema kg 10-15 ndo nzuri maana changamoto ya kufua mashuka ni shida.It depends na mfuko wako na matumizi.
Nakushauri chukua anything between 10 - 15 kg....cz hyo inahimili mzigo mkubwa kidogo ukicheck ww hufui mzigo mkubwa....so its likely itadumu sanaaa. Na pia hyo utaweza fua hata mapazia na mashuka kwa pamoja kwa mkupuo....kuliko ununue kitu size ndogo utakachofulia kidogo kidogo (a tiresome process) then baadae uwaze kuongeza mashine kubwa.
Muhimu watu wawe waangalifu na wajue kuitumia....uwe mkali kama mtu hajui kutumia aulize aelekezwe.....cz wanaweza overload it too much wit less water ikawa shida (Kwa zile mashine za manual) ila automatic ni nzuri sana kama kuna uhakika wa maji.
Ww ukishaset tu na timer ni unakuja kutoa nguo zishafuliwa na kukaushwa....unaanika nnje kidogo tu zipigwe pigwe jua au kama una dryer lingine wewe ukizitoa humo ni unapasi unavaa tu.
Asikwambie mtu kufua kwa mikono ni kunaboa sana (ukicheck ww na wife mna majukumu kibao)....mashine bei ya smartphone tu kwann mtu usinunue bana.
Heavy duty ni kama matumizi gan na gani?Heavy duty ama kwa matumizi ya binafsi tuu?
Swali zuri sana hili.Mi mshamba kidogo...hizi mashine Zinasugua hadi vikwapa?
Nitahitaji kufanya mabadiliko ktk mfumo wa umeme nyumbani kwangu kwa kufunga labda high voltage equipments booster au washing machine ni kama fridge tu ktk matumizi ya umeme.? Socket za kawaida tu.Utumiaji wa umeme unategemea na matumizi yako... Umeme wa kufua chupi ni tofauti na umeme wa kufua gunia...